Umekariri, ukiona chama hakiondolewi ujue kimeleta maendeleo, mfano chna walifanya mapinduzi 1949, kwa maana nyingine aliyekuwepo kipindi hicho alizingua, ukipiga hesabu tangu mapinduzi mpaka leo ni miaka mingap???, na sisi Tz na liccm tuna miaka mingapi?? Itazame kenya ya leo ya upinzani ni...