Wiki mbili zilizopita Korea ya kaskazini ilifanikiwa kurusha satellite yao ya kijeshi ya kijajusi Angani kwa ajili ya masuala ya kiusalama.
Hatimaye, Korea ya kusini imejibu mapigo kwa kurusha satellite yao ya kwanza ya kijajusi ya masuala ya kijeshi kwenye anga za juu ya peninsula kupitia...
Imepita zaidi ya Miaka 31 tangu message ya kwanza kutumwa duniani kupitia simu mpaka kufikia Leo hii Kuna zaidi ya message trilioni zimetumwa ulimwenguni kupitia simu.
Turudi Nyuma mpaka mwaka 1992 kampuni ya Vodafone ndo ilikua kampuni ya kwanza kuruhusu watu kuweza kurushiana message kwa Kila...
Hivi unajua Unaweza kutumia wifi kupiga simu , kupokea au kutuma ujumbe wa Sms kupitia simu yako ikiwa mtandao unasumbua na haupatikani kabisa.
Matoleo mengi ya simu kuanzia mwaka 2015 yana hii huduma ya kuweza kutumia wifi kupiga simu kwenye maeneo ambayo mtandao hakuna au unasumbua balaa...
Mtandao wa Whatsapp ambao ukitoa feature Nyingi mpya inaonekana inachukua toa telegram [emoji16], hatimaye Whatsapp wako kwenye mchakato wa kuleta feature mpya kwenye status.
Meta inataka kufanya app zake mbalimbali kama vile Facebook, Instagram, threads na Whatsapp ziweze kuingiliana bila...
Mamlaka huru ya mawasiliano nchini Afrika kusini (icasa) imetoa onyo kwa mashirika, kampuni au watu mbalimbali ni haramu au marufuku mtu kutumia mtandao wa Starlink.
Mamlaka hiyo ya Icasa iliweza kutoa Onyo kupitia kinotisi kilichochapishwa kwenye gazeti la Serikali siku ya jumanne ambayo...
Umeshawahi kuona simu yako unapoweka sikioni wakati umepigiwa au unasikiliza voice note inajizima ? Je shida inakuwaga Nini unakuta mtu kakupigia simu unaweka sikioni kioo kinazima.
Lazima ujue kwenye simu yako Kuna kitu kinaitwa ๐ฃ๐ฟ๐ผ๐ ๐ถ๐บ๐ถ๐๐ ๐ฆ๐ฒ๐ป๐๐ผ๐ฟ,ni ki hardware kidogo ambacho kinapatikana...
Urefu wa Miaka ya Dunia unabadilika kila baada Muda kipindi Cha Miaka ya dinosaur (wale wanyama wakubwa ulimwenguni) kulikua ni kipindi ambacho Dunia ilikua na masaa 23hrs.
Mabadiliko ya Sayari yalipelekea kufikia saa 24hrs, Sasa Miaka milioni 200 kuanzia sasa saa kwa siku itaweza kuongezeka na...
Siku ya jumatano bilionea namba Moja ulimwenguni Elon Musk aliwashangaza watu wengi ulimwenguni kutokana na kauli yake ya utata dhidi wa wadhamini mbalimbali kupitia mtandao wa X kwa kusema Go f***k yourself [emoji2].
Kupitia mkutano wa New York times aliweza kutoa msimamo wake kuhusu kampuni...
Mtandao wa Telegram imeachia feature mpya kwa watumiaji wake kuwa na uwezo wa kutafsiri sauti kuwa maandishi kwa urahisi kupitia simu zao.
Inaitwa voice Transcription mwanzoni ilikua inapatikana kwa watumiaji ambao ni premium pekee lakini sasa kwa watumiaji wote lakini wasio lipia Bado wamepewa...
Whatsapp Bado wanamalizia kufanyia marekebisho kadhaa kuweza kuachia feature mpya ya ๐จ๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐บ๐ฒ kwa watumiaji wa mtandao wa WhatsApp ulimwenguni kote.
Kupitia repoti yaWabetainfo wamesema watumiaji wa Whatsapp wataweza kuchagua ๐จ๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐บ๐ฒ kuweza kutumia kwenye Whatsapp ambapo utakua na uwezo wa...
Kuna ripoti inaonyesha toleo jipya la iOS 18 litakapo Toka litaweza kuwa na uwezo wa kuruhusu watu kuweza ku install app nje ya app store kwa urahisi.
Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu za iphone zenye kupokea iOS ya 18 kuwa na uwezo wa kuweka app zilizopo nje ya app store (modded apps)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.