Recent content by Mupirocin

 1. Mupirocin

  Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

  Si kweli kuwa kasema watu wasivae barakoa. Mbona mara nyingi amesema tuendelee kuchukua tahadhari huku tukimtanguliza Mungu. Ila watanzania tunashida sana ya uelewa. Mheshimiwa MagufuliJP anatumia nguvu kubwa kwa watu wasio na akili ya kujua mambo. Hakuna mahali amekataa tusivae barakoa. By the...
 2. Mupirocin

  Kuna kitu zaidi ya Corona Tanzania na ni kibaya sana

  Tutagunduaje shida wakati macho ya kila mtu anataka tuseme tu ni corona. Watu wanawatukana madaktari ndiyo wanaofanya ugunduzi huo. Watanzania tuache kuiga na umuch know tutakwisha kweli. Sasa hivi kila ugonjwa ni corona, matokeo yake tunashindwa hata kufanya basics diagnosis, tunashindwa...
 3. Mupirocin

  Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

  MODESTUS CHOGGA alikuwa babu yangu mzaa mama. Tulipigwa pin [emoji625] Sana miaka Ile Hakuna ukoo wa CHOGGA ulitoka miaka ile. Tumeanza kutoboa miaka hii. Babu yangu alifariki 1993 aliumwa sana. Mwaka 1992 aliunda Chama chake cha upinzani. Kiliitwa CHAMA CHA TANTU. anyway nimekumbuka mbali...
 4. Mupirocin

  Msimamo wa Tanzania kuhusu Korona uliotolewa katika kikao cha Umoja wa Afrika AU ni ubabaishaji

  Siyo kweli. Katika kipindi chake hata supply za mbolea zinatoka kwa wakati kuliko rais yeyote. Na amekuwa akisisitiza tulime kwa bidii ili tusaidie nchi waliojifungia. Amekuwa akisisitiza kuwa hata toa chakula kwa wasiolima. Mkuu wa mkoa, wilaya, Das na viongozi wote wa eneo ambao watakumbwa na...
 5. Mupirocin

  Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

  Unaona sasa. Mimi sikuzungumzia review of prescription bali nilimjibu pale juu kuhusu kufanya physical examination. Unaporeviwe prescription unakuwa unafanya physical examination. Na una review prescription aliyoandika nani. Kwanini usiandike mwenyewe basi. Bahati nzuri umesema kuhusu job...
 6. Mupirocin

  Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

  Rikiboy mzee wa kula kimasihara. Hiyo nilimjibu mtu pale juu soma tena. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna aliyesema hawatakiwi kila mtu afanye yake aliyosomea. Tuache kuoneana wivu
 7. Mupirocin

  Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

  Sasa si ufanye unavyotaka basi. Sheria za nchi zinasemaje. Unatumia ubabe mahali ambapo panhitji akili. Haya endeleeni
 8. Mupirocin

  Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

  Hawezi aise. Labda ukasome clinical pharmacy. Ila kwa mfumo wa hapa bongo mfamasia hawezi hata fanya physical examination bwana
 9. Mupirocin

  Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

  Hivi wanajua kama daktari anasoma 1. Udaktari wenyewe 2. Uongozi 3. Maabara 4. Pharmacy 5. Nursing 6. Mazingira 7. Nutrition 8. Sheria 9. Radiology 10. Usingizi 11. Magonjwa ya akili 12. Entrepreneurship 13. Utafiti 14. Psychology 15. Takwimu 16. Sociology 17. Forensic medicine nk Kwa...
 10. Mupirocin

  Wakuu, nishaurini kuhusu Shule ya bweni kwa mtoto wa nursery

  Melete shule ya masista iko Songea. St Agnes chipole English medium. Ina darasa la saba kwa mara ya kwanza. Kwa darasa la nne inaongoza kimkoa. Kitaifa iko kwenye 10bora
 11. Mupirocin

  Wanawake mnaovaa hivi vipedo acheni mnapoelekea sio pazuri

  Ujue pia yuko sokoni. Siyo bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 12. Mupirocin

  Wataalamu wa hesabu nipeni jibu

  Simultaneous equations by substitution method. Dah miaka ya 1998 form one dah kitambo sana
 13. Mupirocin

  Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

  Ameingia sasa. Acha porojo. Tunaomboleza leo jamani dubu,
 14. Mupirocin

  Nukuu maarufu za Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

  Uzuri wa ukakasi ndani kipande cha mti.
 15. Mupirocin

  Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

  Cardiac arrest inaweza kukitokea wakati wowote. Mahali popote.
Top Bottom