Recent content by munyinya

  1. munyinya

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    hivi kile chombo cha voyager 2 hakijafika hata mbinguni au hio mbingu ipo wap
  2. munyinya

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    mimi hizi dini za kuletewa kila kitu szielewi wanatuaminisha mungu alikua kwao watakatifu wote wao maagzo yote walipewa wao asa huo si upuuzi ina maan mungu hakufika afrca yan sala za kuomba wanatutungia sjui salam maria sjui baba ulie mbinguni ata siwaelew ni bola kusali mizm
  3. munyinya

    Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    ukitaka kujua kwanini hatudondoki wala hatuhis kizunguzungu simple practical chukua maji yaweke kwenye kandoo kadogo au hata kikombe then zungusha kwa speed ukitumia mikono ukiwa kwenye costant speed maji hayo yakidondok hata tone basi kuna watu watakua wanaachwa na dunia ndo maana tunasema...
  4. munyinya

    JamiiForums Usiku wa manane

    npo
  5. munyinya

    Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    nilichogundua kumbe miccm inaumia kuliko sisi wapinzani
  6. munyinya

    Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

    we mzee kumbe unatakiwa ufe ili kizazi kiendelee japo sikuombei hilo mungu anisamee . we mzee hujui kama ofsi zilifungwa na fomu hazkuludishwa baadhi mpaka watu wakapiga kelele ndpo jafo akasema watendaji waskimbie mwandishi gan wew wahovyo unaeandika bila kufatia, hivi hata kwa mawazo ya...
  7. munyinya

    Siku Tanzania ikipata Rais mzalendo hakuna atakayepona

    sijawahi kuona wala sifikilii uzalendo wake angekua mzalendo angewaacha wanahabari ilibtumchungyze na tujue makosa yake leo hii donald trump amechunguzwa na bado ni rais wa marekani Aka dunia ila wew ndugu unamuita mtu ambae hata ukitaja jna lake n kosa unamuita mzalendo go back ukasome sifa za...
  8. munyinya

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    hivi kumbe bado kuna watu hawawezi kujenga hoja yaani wew ndo wakusema anamisimamo inamaana kuvunja katiba ni msimamo this is bullshit yey ni nan katika nchi mpak amewafanya watu kusahau kua na yeye kuna misingi ya uongozi lazima aifate
  9. munyinya

    Je, binadamu ni mwili au roho?

    Leo nimefikiria swali moja; Je, mimi ni mwili au ni roho? Nimefikiria kinachotokea mpaka mtoto anazaliwa nimeshindwa kupata jibu. Hebu fikiria kama nilivyofikiri mimi. Utagundua mwili ni kama gari umepewa uendeshe ila kuna baadhi ya vitu huwezi kuvifanya na vinatokea vyenyewe. Mimi...
  10. munyinya

    Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    haha we nae chenga kweli ila ukifanya ivo utakua umesaidia
  11. munyinya

    Ushauri: Wabunge wa UKAWA msitoe mawazo yoyote kuhusu kuboresha hii bajeti

    Msororo sikatai kwa icho ila tatizo ni kua hata izo fidia kuzitoa ni mbindee
  12. munyinya

    Ushauri: Wabunge wa UKAWA msitoe mawazo yoyote kuhusu kuboresha hii bajeti

    Ivi wew utaenda kumwombea baba ako barabara na huku barabar imesababisha watu kuvunjiwa makazi angalia watu wanavyo hangaika wanagalagala mbele za mawaziri ili nyumba zao ziludi hamna kitu ila nikegundua kitu asilimia ya watu wachache m cna chama ila nasema ccm waga kazi yenu nikutetea chama na...
Back
Top Bottom