Recent content by MunyetiGB08

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni vipi vigezo vya kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya?

    Ukiwa Rafiki wa crown Prince utapata
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili

    Nenda NDANDA
  3. M

    JamiiForums Tanzania President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

    Field gan kumcheza ngoma MWALI?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kubambikwa Katiba!

    Masifa yanamsumbua Mh. Prof. JK
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi kata ya mponde bumbuli wagomea kuchangia maabara

    PINDA njoo huku hawataki kuchangia maabara. TUMA KIKOSI WADUNDWE
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini nchi hii itakuwa Mexico ya Afrika!

    Hoping atakuwa CROWN PRINCE
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatangaza kutaka Urais jitazame kwenye kioo kwanza

    Kwaiyo PINDA na WASIRA wasitangaze nia?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama (mb) jimbo la Peramiho afadhili vilabu vya pombe Madaba

    Hapo kanywea maji kwenye KARAI
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mazingira ya maisha chuo cha MUST

    poa mkuu ntakumbuka
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mazingira ya maisha chuo cha MUST

    Wakuu habarini za mda huu! Kwanza natanguliza shukran kwenu. Kwa mwenye kufahamu au aliyesoma katika chuo kikuu cha science na techonolojia cha Mbeya na anafahamu juu ya upatkanaji wa hostel au kama kuna hostel zilizo nje na chuo. Pia hata swala zima la upatkanaji wa chakula ukizngatia hasa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atunukiwa u-profesa na Rais wa China

    Nimeamin China wanaongoza kwa kutoa bidhaa FEKIIII!!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

    Ongezea hawa: rais wa Manzese, rais wa Wasafi. Yeye nadhan atakuwa rais wa Wabaya
  13. M

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Jamani; ili kuipa hadhi yake ni vizuri kuiandika PhD na siyo Phd wala PHD mbaya zaidi mwingine anaandika phd
  14. M

    JamiiForums Tanzania MIKOPO YA ELIMU YA JUU; Ombi kwa Mh.Rais kutokana na kauli yake

    Utegemee kikwete atimize ahadi yake? Umesahau aliposema hahitaji katiba mpya? Umesahau alivowabeza wapinzani walipokuja na mpango wa kuwasomesha bule wanafunzi? Labda umwambie anaitwa marekani hapo anaweza hata asile ili asichelewe. 2015 hawapati kura yangu hata nusu
Back
Top Bottom