Recent content by Munyawi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    ilikuwa siasa tu ndugu kuomba kura. Lakini pia tukumbuke kuongoza serikali si mchezo kila kitu unaangaliwa wewe tu na unategemea kodi huna pesa mfukoni. ni uvumilivu tu sijui mwaka 2020 ataeleza nini wananchi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    kilio kikubwa mno kwa watumishi aliahidi lakini sasa ni shida.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    mwanzoni akiomba kura alisema atawaenzi wafanyakazi lakini baada ya kupata imekuwa kilio kwa wafanyakazi !
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

    Kusikilizwa ni jambo jema lakini hao wanaotaka muungano uvunjwe wanatafuta nini ? je ni kweli Zanzibar siyo huru ? na je Tanzania ndiyo Tanganyika ? je katika hayo makubaliano Nyerere na Karume walikusudia baadae uvunjwe ? mi nadhani liko kisiasa zaidi. hii itakuwa kama Libya, Egypt, Tunisia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    safi sana material
  6. M

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    kuna yeyote mwenye notes za jurisprudence ?
  7. M

    JamiiForums Tanzania The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    dyh hatari kwa hiyo ni kukomoa au uelewa mdogo mpaka kufeli hivyo ?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    kila mmoja ana haki ya kuanza sema wanawake tu wameumbwa ugumu wa kusema
Back
Top Bottom