Recent content by munyagamasero

  1. M

    JamiiForums Tanzania Idara ya maji Mwanza iangaliwe kwa jicho la tatu

    Mbona walishatoa sababu? Kwa nini @ kitu ufikirie ni jipu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lawrence Mafuru umewakilisha vyema majivuno/maringo ya Wajita

    Hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja tu, si Kwa wajita wala kabila lolote. Mimi ni Mjita mbona siko hivyo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

    Lameck rweyemamu anayo pia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea Walimu wataacha kuhangaika na mtoto wa mtu

    Mwanafunzi huyo afukuzwe Kwa kosa alilofanya, vinginevyo hatashikika Na wanafunzi wote Wa mbeya day kama siyo nchi nzima wataiga upuuzi aliofanya Na hivyo kupelekea walimu kuwaacha jinsi walivyo. Impact ya maamuzi ya issue hii ni kubwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    Malugu huyo ni tajri wa nini? Kuitwa tajr ni comparison. Ni tajri ukilinganisha na nani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kujiuliza kwanini MIKATE Haiandikwi Expiring DATE?

    Mbona ninayotumia Mimi kwangu ina mfg & exp date? Wewe unatumia mikate IPI hiyo?
Back
Top Bottom