Muda huu kuna vurugu kubwa inaendelea maeneo ya Tunduma baina ya Wakristo na Waislam..chanzo ikiwa ni suala la kuchinja...Mpaka muda huu magari 8 wamechomwa moto na Msikiti mmoja umeshachomwa moto
daah kweli tunatofautiana kwenye kuchambua mambo!!! inaonekana mpemba una chuki binafsi na watanganyika!!! angalia kuna siku na wewe utatakiwa kuingia na PASSPORT unguja kwani ubaguzi hautaishia hapo...ni hayo tu
\
achen kutudhalilisha wahasibu jamani..kwa mujibu wa nbaa mhasibu ni yule mwenye cpa na uzoefu wa miaka mitatu na kusajiliw3a na nbaa..mtu mwenye diploma sio mhasibu..tafuta jina lingine kabla nbaa hawajakuchukulia hatua
dah hii interview inakatisha tamaa sana kwani katka kanda zote tisa kuna watu 4040 walioitwa.. then wanatakiwa watu 100..tuu..hapo kwa tuliosoma hesabu probability ni 0.4 kupata!! idadi kubwa inaenda kuchukua uzoefu tuu
Huu ni wakati mwingine wa kutafakari umuhimu wa uongozi bora na viongozi wenye ubora unaotakiwa kutupeleka mbele. Hiki ni kipindi kingine cha kujiuliza maswali mengi kuhusu mustakabali wa Taifa letu na kuamua kuchagua watu ambao wanaweza kutuongoza katika kujenga mustakabali huo.
Iwapo...
i got u...it rely on true story...am not a doctor but whta i believe is what i wrote...you should know that the women are in very danger of being affected if slept with an infected man without using condom.
A couple has been married for 5 years now. They have a 2 year daughter.
Like any couple they have their ups and downs, thats life.
One day just after they had a fight over their differences of opinion, the wife went shopping at the local mall, where she bumped into her ex boyfriend from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.