We ndugu yaani Rais akubali kuwa cross examined na Lissu unautani wewe.Remember ushahidi wake sio kama kesi za kawaida tu kwamba unaenda mbali kupiga story
Tatizo la kutojua dhamana ya cheo alichonacho.Mambo ya kusemwa na Katibu wa itikadi na uenezi wa chama au katibu mkuu yanasemwa na waziri.Ukishakuwa waziri ni waziri wa wote, je wapinzani nao wanahitaji waziri wao kwa kuwa watajisikia hawapo salama mikononi mwake.Kuna haja ya viongozi kupelekwa...
1 Nyakati 16:35
Mlilieni, “Ee Mungu Mwokozi wetu, tuokoe. Tukusanye tena na utukomboe kutoka kwa mataifa, ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu, na kushangilia katika sifa zako.”
Luka 9:4-5
Mkikaribishwa katika nyumba yo yote muwe wageni wa nyumba hiyo hadi mtakapoondoka katika kijiji hicho. Popote ambapo hamtakaribishwa, mnapoondoka kung’uteni mavumbi miguuni mwenu kama ishara ya hukumu ya Mungu juu yao.”
Ili tutoke hapa ni lazima tukiri yafuatayo
1. Kuliluwa na udanganyifu kwenye. uchaguzi.
2. Kuwa majority ya watanzania wamepoteza interest kwenye box la kura na hivyo viongozi wapo kwa mujibu wa sheria na sio matakwa ya watu kupitia sanduku la kura
3.Kuwa kuna ukandamizaji wa haki za za raia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.