Wana JF salam,kunakuwaga na tetesi Mwl JK Nyerere alipofika UK kutafuta kupewa uhuru wa Tanganyika alimkuta mmoja wa wafalme (mangi)wa kichaga nae akitafuta uhuru ila yeye alitaka wa Kilimanjaro peke yake,ya kweli?
Hata sasa utakuta kuna kichaa amekwisha mbaya ameonekana mitaani miaka ishirini lakini wanaamini kwa moyo mmoja ni shushushu.any way kama ilshawahi kuwa ni miaka hiyo,siku hiz tecnologia ndio inaplay major rall siku hiz watu wanatumia bugs hadi vyooni,redio transmitars hadi kwenye miswaki baba.
Bw.Time Bandit na wanajamvi wengine nilishawahi kusikia kuna technologia na desingn za vitu kama magari, simu, majumba n.k zinatolewa kuzimu moja kwa moja je kuna uhusiano wowote na hizi logo zenye alama zao na kuna ushaidi wa uwezekano huo?
Mungu wa kweli ni huyo hizi sign zote zinajaribu kuwa against nae ama huyu hizi signs zinazo onyesha kupambana nae.utakua unaelewa kama namba 666 ikiwa kama alama kuu ya hizi society na organisation za kishetanishetani ni alama ya mpinga nani,kama hujui soma kitabu cha ufunuo kwenye biblia.Mungu...
Asante kwa wachangiaji wanaojua huu ni moja ya uwanja wa ku-expand huo uwezo wa akili.Intelligence ya mtu ipo aina mbili(1)natural by born(2)self make.hizi akili za asili(natural by born) SIO ZA KURIDHI KWA NAMNA YOYOTE ILE hazihusu uchaguzi wa mzazi wala mtoto na saa zingine mtoto kama huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.