Recent content by Munishi1698

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, naombeni mnishike mkono

    Bas waajiri ww mkuu kwa huo mshahar mzur na kaz nzur tunachofny apa ni mtu ambae han mishe apate mishe ya kupg wengn mpm kod mtu anashndw kujikim sa huon apo ni 90 afu kula inakua juu yng
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, naombeni mnishike mkono

    Hyo ni theory fanyia practical ndo uone km ni rahis km unavosema
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, naombeni mnishike mkono

    Mtaji ef 5?? Labda ikiwa una vifaa vyako mkuu uko center stend kbsa mbgala unalipa kod friza umeme maji afu ef tano wote si wangefanya hiyo kaz kwa ef tano
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, naombeni mnishike mkono

    Kuna kaz ya kuuza maji ya kandoro mbagala apa kula juu ya boss mshahara 90k kwa mwez
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    SA mbil asubuh unafika na barua ya mwenyekit wa mtaa getin afu unazama ndan,msoc mchana SA Saba ni DK 30 only afu kuendelea na kaz mpk SA moja tym nyingn SA mbil ndyo mnaachiwa inaingia shift ya ucku
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mpiga picha wa Konde Gang aondoka rasmi

    Wa mond alifukuzwa kisa nn tena
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Kiume inafanyika kakaze Tu afu uwaletee wadau mrejesho
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Nenda na barua ya serikal ya mtaa utamkuta bimkubwa getin utampa hyo barua afu unazama ndan unapewa overal lako unaingia mzgon
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Ndo Hali halisi ya pale mm nmepiga mwez mmoja pale ko napajua frsh kaz ziPo 10k per day lakin ndo hivo viroba Zaid za 300 per day na unaruhusiw kuunganisha ukapga kuanzia asubuh mpk SA mbil usiku afu ukaingia tena shift ya usiku ukatoka asubuh na 20k
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Waliowah kupga apo job wanaelewa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Nshafanya apo mkuu lakin dah loader unalipwa 10k lakin viroba 300 per day
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nichukue mkopo bank gani?

    Mkopo ni kuboost mkuu
Back
Top Bottom