Aliweka baadhi ya sehemu za kutokea afya kuwa chini ya tamisemi alihribu sana ,,huduma zinazotolewa under tamisemi ni mbovu mnooo Bora uende Kwa mganga
Kuna possibility kubwa kwamba magonjwa wako amedevelop diabetic ketoacidosis acidosis,,,na huwa ni mtiti kupambana nayo kwaio kua humble kama ujaridhirika na huduma zao omba kuondoka naye na piaa skiliza madr wanachosema uswe na mawazo ya eti vile unavowaza kwamba apone Sasa hvii kumbuka...
Hivi wakuu kutokana na changamoto ya ajira ambazo vijana wetu wanapitia nashangaa eti dokta au nesi haruhusiwi kufungua duka la dawa muhimu 🤣.
Hivi alieturoga nani? Tuwahaurumie vijana wetu jaman uwekwe utaratibu kuruhusu waliosoma afya kufanya hio huduma Kwa kufuata utaratibu ajira zenyew Kwa...
Kasome dip ya clinical dentistry,, au diagnostic radiography mkuu,,, hutajutaaa hzo ndo course markable sasa usikimbilie co,au nursing za kidwanz tu saiv
Nhif ni kichefu chefu yaani hata hata hospital zinazotoa huduma kwa nhif wanapitia tabu sana wakati wa kuclaim Madai ni zaid ya mtihani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wanakatwa had huruma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.