Bila jitihada za dhati za mabadiliko katika madereva wetu watatumaliza jamani. Madereva wa nchi za nje kama ujerumani wanazingatia sana taratibu na sherea na ukizingatia akiwa amebeba abiria? Sisi tatizo liko wapi wanajamii? Tuwafanye nini hawa madereva? Hawajali utu ama nini?
Mungu wee fungua akili za viongozi wetu waone ukweli na wawajibike ipasavyo. Baba wa Milele tuonee huruma kwa nini masikini ndio wanateseka tuuuu tuuuu tuuuu na wenyenavyo wanazidi kunufaika na mbaya zaidi hata bei zinapanda ati kufa kufaana!! Ewe Mtanzania uwe na aibu. Kweli unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.