Recent content by mungai onesmo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jamani, hivi hili kabila la wakamba lipo Tanzania hii au tunavamiwa ?

    wako vizuri sana na wanaibuka kwa wasomi wengi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Yapo makabila mengi Tanzania yanafika adi 130 kwa makadrio mengine ni kama .1.WALUO 2.WAMERU 3.WAKURYA 4.NYASA 5.WAKAMBA 6.NYASA
  3. M

    JamiiForums Tanzania I bet our universities is the reason we hate coding in Tanzania

    if you want to become a good programmer you need to sacrifies your self in coding and try practicing every second to code .Remember the best programmer are not wether gifted.since a good talent are of not value unless they improved. Area where you can apply programming language is like in...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

    hivi nnaombeni kuuliza nimatatizo gani tunayoyapata sisi watanzania kwenye suala la Information and communication Technology(ICT)? pia unaeza email me on, onesmoojohn@gmail.com
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Watanzania wezangu as an computer science(IT) student nahitaji kufanya project last year. Naombeni project proposal idea ili kufanikisha ili jambo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu imekata sauti ghafla, msaada tafadhali

    jaribu ku update SOUND DRIVER.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jamani, hivi hili kabila la wakamba lipo Tanzania hii au tunavamiwa ?

    Wakamba qapo Tanzania tens wapo Kilimanjaro,chuga,tanga ,manyara na dar es salaam.tena nikabila linalokuwa kwa kasi kielimu sana hapa tanzania.maana ukienda Kule moshi kila familia lazima utakuta angalau msomi mmoja....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa hesabu wa darasa la saba wawa mgumu, walimu wahesabu walalamika

    Naombeni kuuliza kwa wazoefu.HV kilimo cha tikitiki kinaeza saport ardhi ya ifunda(Iringa)?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa hesabu wa darasa la saba wawa mgumu, walimu wahesabu walalamika

    Hivi 001,01,00001 ni IPI kubwa?au ziko saw a?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa hesabu wa darasa la saba wawa mgumu, walimu wahesabu walalamika

    Hesabu ushaona wapi inakaririwa ndugu?
Back
Top Bottom