Recent content by Mundoya kulendea

  1. M

    Kasisi basha aishtaki kanisa kumbagua

    Acheni kuushirikisha uislamu na mambo hayo,kwani hicho kitu ni kama laana.UISLAMU HAURUHUSU HIO KITU.
  2. M

    Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

    CCM,CHADEMA,ACT,NSSR,CUF na vyama vyote,,wote ni wale wale tu,Jitume usisubir serikali,wao wenyewe wapo kazini wanajituma kukudanganya ili wapate kujikimu,ww unadhan nani anakukumbuka baada ya kuingia madarakani,,fight kivyako sio unapoteza muda kupigia debe wenzio,,unatakiwa ufanye responsblts...
  3. M

    Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

    Rais bora hatoki kwenye chama wala kwa mungu,coz mungu hakuwahi kutuletea rais bali Mitume,,mnaosema dr. ndio rais bora mmepotea,president anatoka kwa whiteman subiruni muone,,Neo col....
  4. M

    Madhara ya kulawiti

    Ww masai dada uislamu hauruhusu hio kitu,quran 2:230,inazungumzia talaka huyo anapotosha watu.
  5. M

    Madhara ya kulawiti

    Jamani huyo alieandika kuwa mambo hayo ya kishenzi yanapatikana kwenye suraat baqarah ni muongo,,kwan surat baqarah,quran2:230,inazungumzia mambo ya talaka,na sielewi yeye katoa wapi hizo aya,usipende kupotosha watu kupitia kitabu cha mungu,ULAANIWE.
  6. M

    Vodacom wanatumia hizi alama (########+#) Kutuma Ujumbe, Je inaruhusiwa?

    Siasa hizo,kuwa mdadisi utaelewa nini kinaendelea,,Itz political science.
  7. M

    Zitto: Januari ndiye mgombea wa CCM aliyejieleza kwa ufasaha zaidi kuliko wote!

    Usiongee vitu usivyovijua,,alie kwambia january makamba muislamu ni nani?
Back
Top Bottom