Recent content by MUNDALI WA ILEJE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aupatia ufumbuzi mgogoro wa CHADEMA Karatu!

    Safi mshua
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi ndani ya Ileje

    Kufuatia kuwepo kwa mwenyekiti wa halmashauri ya Ileje aliye kosa elimu kwa kuishia daasa la nne na kujaliwa kuongea, amejikuta akizidiwa kete na wakuu wa idara ndani ya halmashauri na kuburuzwa baada ya kushindwa kuzitolea maeLezo pesa za msaada zilizo tolewa kwa ajiri ya ujenzi wa kituo cha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

    We kilaza kweli kaka
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inanifilisi nifanyeje?

    Nauza stiker za magari na baikeli na je ugumu wa maisha inatakiwa auzunhumzie nani hii mada ipo upande wowote ule kwa kuwa ili tatizo wa kuwajibika ni mwanasiasa kwa kuonyesha kumjari mwananchi aliye mchagua na si vinginevyo kwa kuwa hata mbunge anaweza kuliwasilisha bungeni na likajadiliwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Da sasa wanatupeleka kubaya ndugu zangu wameanza na viongoz wa dini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inanifilisi nifanyeje?

    Serikari inamnyonya mwananchi kwa asilimia mia moja bila kujari ugumu wa maisha uliopo, we piga hesabu mtaji wangu ni Tsh1500000 kodi yangu kwa mwaka ni 120000, fire nawalipa Tsh42000 kwa mwaka, bango nalipa Tsh72000 kwa mwaka, mchango wa shule nalipa Tsh20000 kwa mwaka, Ulinzi nalipa Tsh20000...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ileje liko wazi kwa CHADEMA, njoo tulikomboe mapema

    Vizuri kama wako wengi ila nilio kutajia ukienda pande za itumba wameshika baraha milimani uku ndio usipime
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Ukiwa kama msemaji mkuu wa chama tutalajie lini kusikia kuwa mnawachukulia hatua vibaraka wote ndani ya chama juu ya tuhuma zinazo endelea kukichafua chama kwa ajiri ya maslai yao binafsi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa video hii, sishangai yanayotokea CHADEMA

    Nikipata nafasi ya kumshauri mbowe nitamwambia adui yetu namba moja ni zito na sio ccm
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    Kufuati kuwepo kwa kundi fulani la usaliti ndani ya chama na uongozi kukaa kimya bila kutoa tamko lolote kunafanya vijana wengi kukata tamaa ususani wale wasio kuwa na uwelewa juu ya siasa iliyopo kuwa ni ya kuchafuana kwani sasa nimepita vijiwe kama vitatu vyenye masikani ya vijana nikiwaambia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

    Big up brother
  12. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Police Vs Democracy in Tanzania

    Muda utafika, haki itapatikana na wote waovu tutawaukumu
  13. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wakunwa na Lema nje ya Bunge.

    Tunasubiri tamko juu yenu wote mlio onyesha usaliti ndani ya chama nazani tamko linatoka mwezi january na tena acheni unafiki wa kupongeza mafanikio ya chama wakati ww mamuluki
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mussa Mkanga anayedaiwa ktk kesi ya Lema atoweka,asababisha ndoa za washirika wake kuwa ktk hatihati

    Tena mpaka wakome kuingilia mambo yasio wahusu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Sugu kwa kazi nzuri

    Jiji la mbeya sasa barabara zote zinapitika achiliambali za world bank barabar zote za jiji zimesindiliwa kifusi safi na hakuna matatizo ya magari kukwama tena kama brock T ,mama john, sae, nk na huu ni mwanzo tu
Back
Top Bottom