Recent content by munangwa Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakika nampenda Welu Sengo

    Kweli bhana ajitokeze japo tu asikie kuwa kuna kijana anamfikiria kwa kweli,yaani japo anipigie hata simu tu au kama kuna mtu ana namba yake japo nimtumie meseji tu ya kuwa NAMPENDA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakika nampenda Welu Sengo

    yule mtoto haki ya mungu mimi nishakufa nikaoza kwa kweli ule mgongo na ile miguu,mwanya ule kidogo na kicheko kile mi ntatangaza ndoa aiseee,Dinazarde mfikishie WELU SENGO ya kuwa NAMPENDA HASWA TOKA NDANI YA MOYO!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakika nampenda Welu Sengo

    unanikatisha tamaa aiseee maana namkubali sana yule mtoto,natumai ujumbe huu ataupata tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hakika nampenda Welu Sengo

    Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo, kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kumkubali sana kwa namna anavyoigiza na ana uwezo wa kuuvaa uhusika wowote atakaopewa,pia yuko smart kwenye lugha haswa anapoongea lugha ya malkia Elizabeth lakini mwisho kabisa ni mrembo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma?

    kaka jagarld na kobori ofisi ya mkuu wa mkoa pale waliihamisha baada ya kuungua moto kwa hiyo kwa sasa ofisi ya mkuu wa mkoa inapakana na ofisi ya CCM makao makuu kwa upande wa chini na baada ya ofisi ya mkuu wa mkoa ndiyo inafata TRA ndugu zangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma?

    kaka kwa urahisi ofisi ya mkuu wa mkoa Dodoma iko karibu na ofisi ya CCM makao makuu ukiwa Nyerere Square hapo ukiona bango la CCM makao makuu bhasi ofisi inayofuata ndiyo ya mkuu wa mkoa,AHSANTE
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi toka Jeshi la Magereza

    shukran kwa taarifa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Analia nin huyu??

    analia baada ya kugundua kauziwa mbuzi kwenye gunia(WELBECK)
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majid Michael: I am Genevieve's student, not lover

    tafuta movie moja inaitwa game love&murder ujisachi kwa uroda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majid Michael: I am Genevieve's student, not lover

    tafuta moja inaitwa game love&murder ujisachi kwa uroda
  11. M

    JamiiForums Tanzania Majid Michael: I am Genevieve's student, not lover

    hujajua uigizaji wewe huyu jamaa ni kaa la moto aisee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    Jamani tusitoe tuhuma kwa namna yeyote ile maana wao ndo waajiri na wanajua ni nini wanakifanya kiukweli hakuna ambaye anapenda kutokuitwa kazini lakini naamini lipo linalowapelekea jambo kuchelewa na pia tujue lazima watakuwa wanajipanga kwa ajili ya kujenga mazingira mazuri ya kazi,na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    ubarikiwe mkuu kwa kujitolea
  14. M

    JamiiForums Tanzania MUAMAR QADDAFI Kiongozi Shujaa atakaye kumbukwa kwa wakati wote ule....

    Sasa wataka kumfananisha na nani ambaye ni shujaa wako?siyo kila unapinga tu acha hiyo mambo jifunze kukubali
  15. M

    JamiiForums Tanzania Enzi ulipokuwa boarding

    hilo ulosema ni kweli mwenyewe hilo jambo nimeliona sana yaani aliyefaulu kapata IV 27
Back
Top Bottom