Kura za wenzetu siyo kama za kwetu zinasafirishwa kwa baiskeli.Uamuzi ni huo najua wahafidhiana mmeumia, hiyo ni wind of change, it might hit many unions and communities
Serikali ya wapi duniani iliwahi kuangushwa na wafanya biashara???? ninachojua ni nguvu ya umma ndiyo inauwezo huo.Hao wafanya biashara waliokwepa kodi na kuficha pesa PANAMA. Sasa hivi pichu zimewabana wanasubiri huruma ya Magu ili japo waambulie chao kidogo.Wananchi tunazo taarifa kuwa...
Hivi mnadhani serikali yenye vyombo vya kuipatia taarifa utalinganisha na wakesha mtandaoni??? acheni hizo hakuna kesi wala hukumu hapa.mbona swala la kuagiza sukari ya kuchanganyia juzi hatimaye ikipakuliwa inafanyiwa rebagging ni issue ya kawaida sana na ya muda mrefu.Huo ni uhujumu uchumi...
Utambulisho wa rais ni nchi yake, hahitaji mpambe wa kumtambulisha .Magufuli anajulikana Dunia nzima, ni rais pekee aliyekataa mialiko ya wadhungu.HAPA KAZI TU
Lugha si lolote si chochote dunia ya leo kinachoangaliwa ni content of the information delivered, kuna wakalimani kibao , mwenye shida na rersource au uwekezaji tanzania hatajali lugha. ataangalia anatafuta nini, shida yenu watanzania exposure hamna, wachina wanatembea nchi zote duniani lakin...
JV ndiyo suluhu kwa uwekezaji wa mifuko ya jamii, JV kwamaana ya kuwashirikisha wakulima, wakulima waunde ushirika then wachangie mitaji kwenye uwekezaji.mfano kule singida wakulima wame advance sana na wana mitaji japo si mikubwa. Wakiunganisha nguvu(synergy) kwa kuunda ushirika then kila mmoja...
bIASHARA YA NAFAKA HAITUPI MFANYA BIASHARA LAZIMA FAIDA IPO.MIMI NAIFANYA TENA NSSF WATAGUNDUA WALICHELEWA, KWA WAO NI RAHISI KU-ACCESS MASOKO YA NJE, HATA SOKO LA NDANI BADO.MIM NAUZA SEMBE KWA WINGI KWA KUTUMIA MASHINE YA SIDO NA HAKUNA HASARA
Haihangaiki mkuu huo ndiyo ukweli wenyewe na lazima mabepari wasalimu amri.Wahindi hawana ushawishi nchi hii leo tukianza kuwabagua watakimbia nchi. wanatakiwa warudi ktk mstari tuuu
Taasisi za fedha kama PSPF,NSSF,PPF waingie kuwekeza kwenye viwanda vya miwa. kama wwameweza kigamboni sembuse kiwanda cha miwa ambacho hata 10bl. haifiki, serikali ingeweza kuanguka kama ingeshindwa kulipa mishahara ya watumishi lakini siyo sukari.slaa kazeeka huyo
Safari hii mtaongea lugha zote na herufi zote lakini take mi words.Magu kawashika penyewe mmetutesa sana miaka takribani 30 .Sasa basi lazima muelekee kibra.Kwa taarifa yako serikali tayari imepata suluhu ya janga hili la kutengeneza.just wait n will see.Hapa Kazi tu.
Shida ya watanzania wanapenda mambo makubwa ndiyo maana wengi wenu hata kujenga banda la kuishi mmeshindwa kisa eti pesa haitoshi.Uvivu tu.kwani huwezi na kuanza kununua mabati kwa kududnduiza baadae ufyatue matofali n.k n.k.
Serikali makini ni sawa kuanza na 2bl. kwani kuna ground works kibao...
Hivi kutul
Hivi kutuletea mambo ya Abdu Jumbe unadhani ni ujanja!!!! Hivi ZAnzibar unaweza linganisha Tanzania, zanzibar hujui kama ni mkoa wenye hadhi tofauti na mikoa mimninge lakini utabaki kuwa mkoa au Wizara yenye taasisi nyeti.JPM ndiyo mtanzania namba moja wengine tunafuata, utaweza...
tUNAJUA Mnachochoa ukawa waende mahakama ili mfunge mjadala, ukawa hawataenda mahakamani kwani ile ni mali ya jiji, inatumiwa na matapeli tu, na dawa ya tapeli ni kupiga stop kukanyaga kwenye mali hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.