juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Leo ishu ya sukari inaonesha wazi ya kwamba vita hiyo inaenda kumshinda,.hao songas wamezima mitambo tena bila makubaliano ya kisheria,maana tunasikia serikali inawashitaki kwa kukiuka makubaliano ya kisheria,kwa sababu mkataba unasema songas wasisitishe utoaji wa huduma,lakinibwao wamezima.
Hiyo maana yake ni kwamba huwezi kushindana na mfanyabiashara hata siku moja yaani akiamua kukukwamisha ujue ni dakika 5 tu you are finished.sasa leo yameibuka hayo ila kesho na keshokutwa yataibuka makubwa zaidi,kumbuka mgomo wa magari nauli ilipotaka kushushwamwhat if wamiriki wa petrol stations nao wakagoma kuleta au kuuza mafuta what will be happen?
Inshot to battle with a businessman is something very difficult.raisi awe makini sana