Recent content by muna muna

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika kurindima kesho tarehe 24/4/2015 manispaa ya Singida

    Tanzania nzima, Singida inahitaji attension kubwa sana! Hasa singida mjini, wamewekwa kwapani na yule mhindi mwarabu! Ni aibu sana! Bora makamanda waende labda watafunguka! Najiskia vibaya sana tunavyofananishwa na mazezeta! Singida ndio ya kwanza kwa kuipa ccm kura nyingi na hiyohiyo ya mwisho...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Midahalo ya wagombea ubunge ndani ya CHADEMA

    Naunga mkono asilimia mia kuwepo midahalo ila kwenye vigezo natofautiana na wewe kiasi fulani! Wapo watu wengi wenye uwezo wa kuongoza na kuileyea maendeleo jamii ya watanzania ila bahati mbaya hawajafanya makubwa ktk vyama vyao ila pia wapo wengi waliotumikia sana chama na hawana sifa na uwezo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni selfish, UKAWA kuweni macho

    Hata mke na mume hawafanani maeneo yote! Lakini kwa pamoja katika yale wanayoamini kwa pamoja wanasonga mbele kama kitu kimoja! Umoja ni nguvu utengano ni dhaifu! Hao wanaoponda muungano huu wanatumikia buku 7! Wajiulize li ccm lenyewe lina vipande vingapi hadi sasa!? Mbona wamegawanyika tu??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Sitta yapoteza matumaini kabisa Urais 2015

    Sitta ni Interehamwe!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Maharamia wamefanya uharamia kupitisha Katiba Haramu

    Umesema kweli Mnyika, ila Mungu atatutetea!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sitta akalia moto

    Sita ni janga!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    Jamani wana jamvi naombeni mnifsaidie kujiunga na startv online kwenye cm yangu, sumsung galaxy grand
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Slaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndani ya moshi mjini

    Ntaanzisha harakati za kuwaombea vijana mazezeta ma ccm! Ivi mmelogwa au mnafikiria kupitia makalio ndo mana hamuwezi kabisa kutambua kwamba nchi inaliwa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali bado tete CHADEMA

    Ivi buku 7 haijapanda kweli tangu jana? Hawa jamaa wanalaana!
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Chadema juu sana! Mmefanya kilichostahili kufanyika hata kama kitayumba kiasi, ni nafuu kuliko wangetuwahi, sasa kushika dola ni uhakika! Hiki kipindi kitachuja makapi yote tutabaki na cream itakayochukua dola! Thanks God!
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Naona vijana wa mwigulu wanafanya kazi yao ipasavyo!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu: CHADEMA Ndio Kama Chama Tawala na CCM Ndio Wapinzani Sasa

    KInana mwenyewe hapo alipo ameshasambaratika tayari! Autolee wapi uwezo wa kuisambaratisha chadema!? Chadema sio mbuga za wanyama anazozifisadi cha zaidi anaiongezea chadema umaarufu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    Acha kutuchekesha kaka!
Back
Top Bottom