Recent content by Mumwi

  1. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Nasikia itakuwa uwanja wa Tindigani kimandolu.
  2. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Nimejizatiti kumtoa Sitta na CCM Urambo kwa tiketi ya CHADEMA

    Mtaa anakotoka sita Chadema imechukua.
  3. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Andew Maganga: Nimejidhatiti kumng'oa Sitta Urambo kupitia CHADEMA

    Sawa mtafute tu zaidi anahitaji sapoti yako hasa kipesa!
  4. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Andew Maganga: Nimejidhatiti kumng'oa Sitta Urambo kupitia CHADEMA

    Ni yeye wakati wa uchaguzi serikali za mitaa tulimchangia pesa kwenda Urambo na kumekuwa na mafanikio makubwa hakika huyu kijana atamng'oa 6
  5. Mumwi

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha mjini kumsimamisha Mwl. Mwakasege ubunge 2015

    Ngoja wajifurahishe tu, Mwakasege Mungu alimpa kazi maalum ya kulisha kondoo wake kwa njia ya neno la Mungu ndiyo maana aliacha kazi nzuri tena za kimataifa na kufanya kazi ya Mungu. Ni hawezi kamwe kushawishika na siasa kwenda kugombea ubunge ambao kwanza utamshusha kiroho chake, maana hawezi...
  6. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Monduli: Uhuni wa Lowassa huu hapa

    Naomba wenye data mbali mbali za Lowasa azitoe miongoni mwa watu nilikuwa nawakubali ni huyu jamaa kwa namna hii akija kuwa raisi wapinzani watanyanyasika sana tangu leo nimemtoa mawazoni mwangu kwamba eti ni raisi ajae Mali zote alizo nazo kumbe ni za ufisadi tu.
  7. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Meya Jiji la Arusha presha inapanda presha inashuka

    Ndiyo zahanati iko mtoni mbele ya ofisi ya kata kama unaenda masai camp Zack alisema watafanya mabadiliko ofisi ya kata itaenda kule zahanati iwe paleilipo ofisi ya kata maana pale gari haingii.
  8. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Meya Jiji la Arusha presha inapanda presha inashuka

    Diwani wa kata ya Olorien ambaye pia ni Meya wa Jiji la Arusha toka uchaguzi wa 2010 amesababisha Jiji la Arusha kuwa kwenye migogoro mingi, tunakumbuka Januari 5 2011 kuna watu waliuawa kwa risasi. Pia katika kata ya Olorien amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya pesa kuna zahanati ya...
  9. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    We Arusha upo mara kariakoo au ni sehemu ya jini linalozunguka dunia kwa sec.
  10. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

    Jana jioni ccm walibeba chokoraa wenye marungu na mapanga walijaa fuso ukionyesha alama ya V wanakushambulia wanapiga watu lakini polisi hawachukui hatua yeyote.
  11. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Assumpter N. Mshama

    Japokuwa huyu mama anajiita mlokole nahisi hata hajui maana ya ulokole inawezekana hata huko jimboni kwake alipita kwa hongo.
  12. Mumwi

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Itakuwa vizuri hiyo video iwekwe hapo ili ukweli ujulikane
  13. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Soma Tamko la Makanisa baada ya muumini kuuawa kanisani Bukoba

    Nchi hii vyombo vya usalama wanashughulikia zaidi matukio ya chadema tu!
  14. Mumwi

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Kikristo kuhusu Mchakato wa Katiba

    Kweli tamko ni kali!
  15. Mumwi

    JamiiForums Tanzania New life band Arusha

    Naona unawafahamu vizuri sana mpaka mahali walipo.
Back
Top Bottom