Recent content by mumema

  1. M

    Ni noma!

    Twisen noma!mtoto wa kike anaomba ruhusa kwenda kwa mwalimu wake kusoma maths,yaani topic ni kutoa na kuongeza!mwanafunzi anatoa 5000 na baada ya siku tumbo limejazwa mimba na mwalimu!hii ni haki?
  2. M

    Mume hanifikishi kisawasawa

    Sikilizi binti!jaribu ujiandae vizuri na kumwandaa huyo mmeo kwenye tendo la ndoa ili awe na hamu!ila mkifanya kama kubakana hawezi kukufikisha keleleni!kama hujui kumwandaa unitafute nikupe darasa ili unusuru ndoa yenu!kwenda nje yandoa sio solution
  3. M

    Ndoa

    Nilioa nakufunga ndoa!na mungu ametujalia kupata mtoto mmoja wa kiume.nilihamishwa sehemu nyingine kikazi ila mke wangu alikataa kuhama na baada ya hapo alienda mahakamani kuomba talaka!pia hakati mtt nimwone wala kufika kwake!nifanyaje?naomba ushaur
  4. M

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    naomba uniangalizie jina elias m missoke amepata uhamisho januari 2014.naomba jibu
  5. M

    Mungu ni mweza yote na freemason wameshindwa

    Jamani,nawaombeni mtumikie mungu peke yake na tuachane na maovu pamoja na vishawishi wa kupata mali kwa kupitia njia ya haramu kama freemason.basi jiwekee kila wiki unaacha dhambi moja moja nadhani kwa miezi kadhaa utakuwa msafi!nyie mnasemaje?
  6. M

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    MKUU Pendael6410,naomba uniangalizie jina la Elias M Missoke kwenye orodha ya uhamisho january 2014 :tafadhali,nisaidie nipate jibu
  7. M

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Naomba uniangalizie kwenye uhamisho january 2014 jina la elias m. Missoke kama lipo
  8. M

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    niangalizie jina la elias m. missoke kwenye uhamisho january 2014,tafadhali
Back
Top Bottom