Umeme wenyewe mbona Tz hakuna, unaongelea one hour, tz mgao ulitangazwa kuwa masaa manne then masaa manne mengine, jumla masaa 8 kwa siku, lakini leo wamekata umeme kuanzia asubuhi saa nne na hata sasa saa kumi na mbili jioni umeme haujarudi, vipi kule nanjilinji kwenye vibatari wazime...