Recent content by Mume halali wa Ephen

  1. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi nimetumwa na mganga, nipe sindano tatu na kipande cha sanda…

    huyo mganga akishindwa nistue, nikupe za mwingine aliyenisaidia kumfunga ephen
  2. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

    good, as long as unapata ahueni
  3. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

    hakuna upande salama, ndoa nyingi ni full stress wanaishi tu ilimradi siku zisogee
  4. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

    kujifariji tu, hata usingeoa maisha yangeendelea tu, ila suala la wewe kuoa na kujiona uko perfect kuliko ambaye hajaoa ni kujidanganya. maisha yapo popote ulipo, ukioa, usipooa yote ni sawa furaha, huzuni, karaha na raha zitakufuata hapohapo haijalishi
  5. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

    Sasa hasira zako za juzi unatuunganisha na sisi wa mwaka jana
  6. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

    Yalishapita hayo mkuu, si umeshampata Marry Diana
  7. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

    Ukifika mda wa kupima kilo, zangu ni 98kg. Tajiri unadhani kila mtu anapatikana kirahisi kwa pesa zako 😅 #umeutaka, karibu
  8. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Natamani kampani Leo Kwa waishio Dar es salaam,tualikane tuje Kula sikukuu

    Anarudi Default mode(kwenye umalaya)
  9. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Natamani kampani Leo Kwa waishio Dar es salaam,tualikane tuje Kula sikukuu

    Kampani ipo, ila hela pia sina. Tutakula nini mariamu? Kampani siyo umalaya, ulipogusia kuwa hela huna hapo ndo umalaya umejitokeza. Maria, unajifanyia setting weeee... mwisho unarudi kwenye default mode
  10. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa sisi wakali wa physics tu wale hkls kimbieni

    Yote ni majibu; Kama gari lilikuwa linaenda mbele jibu ni 2, Kama lilikuwa linarudi nyuma jibu ni 1 Kama lilikuwa limesimama tu bado ukaapply brakes jibu ni 3 Anyway, hiyo hata hkl wanaijua maana ni physics ya form 2
  11. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

    Ulizikosea nini mbususu tajiri, mbona me ephen nilimpata kirahisi tu
  12. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

    Hahah kwamba wewe ni mkubwa kuliko JA? 😂😂😂
  13. Mume halali wa Ephen

    JamiiForums Tanzania Historia ya mke wangu inanikatisha tamaa

    Hiyo mistari mitatu ndo unaiita historia?
Back
Top Bottom