Recent content by MumCaron

  1. MumCaron

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    RIP Ruge Mungu akusamehe makosa yako na akurehemu kwa mema uliyotenda Duniani. You will forever be missed!!!
  2. MumCaron

    Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

    HASWAA UMENENA....WANAUME WENYEWE MACHO KODO KODO KUTAKA VYA BEI RAHISI UNAFIKIRI BIASHARA ITAKUFA. HEBU WAWACHUNIE SIKU MBILI TATU UONE KAMA ITIGI ITAKUWEPO......MUNGU ATUSAIDIE TUPAMBANE NA HILI
  3. MumCaron

    Mapokezi ya ndege mpya ya ATCL eneo la Terminal One-JNIA

    AMINAAAAA KUBWAAAA....
  4. MumCaron

    Upotevu wa Mafuta bandarini: Mtendaji Mkuu WMA, Meneja Vipimo wasimamishwa kupisha uchunguzi

    NDIO MWANZO WA KULITUMBUA JIPU. UNAANZA KUPASUA NCHA THEN UNAELEKEA KUMTOA MAMA JIPU .....HAHAAAAA MWAKA HUU??/
  5. MumCaron

    Rais Magufuli amteua Rais mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Hahaaa nawapongeza watakaokuwa wanapewa degree na JK ..heheeeee
  6. MumCaron

    Nyalandu vs Maghembe: Nani nafuu kwa Wizara ya Utalii?

    Sure mimi ningekuwa raisi...namtwanga ubunge Kaghasheki...nampa tena wizara....lile jembe lilileta nidhamu.. basi tu...ila tuwe na matumainu na huyu mpya
  7. MumCaron

    Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

    Kabisa naungana na mtoa hoja..majibu ya raisi yalikuwa ya ugwadu na ukakasi ..mafupi kama ya mzee Lodi Lofa wa gazeti la sani. Nafikirikupitia humu ataisoma hii na kufanya mabadiliko. Tanzania ni yetu sote na tutaijenga kwa kushirikiana. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake katika awamu hii. Amen
  8. MumCaron

    Ushindi wa Magufuli utaletwa na UKAWA

    Mhhhh ipo kazi mwaka huu...Mungu na atuongoze watz wote..
  9. MumCaron

    Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    Shangaaa na ww Ndugu yangu....yetu macho na masikio
  10. MumCaron

    Chato: Mtoto Yohana Bahati (Albino) atekwa, akatwa viungo vya mwili, Azikwa kwa ulinzi mkali

    Hayo maneno ya mkosaji....mtazitafuta data zake saana ila haisaidii....kumbuka kidole 1 ....
  11. MumCaron

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Hii haisaidii kwa sasa delete
  12. MumCaron

    Picha za kudhalilisha za Makongoro Nyerere zinazosambazwa na Mbio za Urais 2015...

    Ngono sio ya kumtoa mtu kugombea. Akipita atarekebishwa...tatizo watu uzinzi ndo wanaona kosa kuubwaa kuliko kula mabilioni ya watanzania...non sense asonge mbele picha wazisambaze tuuu ...dua la kuku hilo...
Back
Top Bottom