Mrembo Sanchoka kutoka Tanzania anayesifika kwa umbo lake la kujazia, atangaza biashara ya mbwa watambulikao kama American bulldog kwa photoshoot kabambe ufukweni mwa bahari.
sanchoka aliangika hivi:
x XXL American Bully from @mkuki_dogkennel 🤗 this dog is 65kg 😰 very Huge and he’s the...
Huyu mdada anaitwa Gracyane Barbosa ni mrembo wa kibrazil amejikita kwenye udansa na mazoezi yani fitness model.
Je, ni sahihi kwa mwanamke kufanya mazoezi na kuvimba kama hivi?
Gracyanne Jacobina Barbosa Vieira is a Brazilian fitness model and Carnaval dancer.
Msanii alikiba msanii mkali wa muzik Tanzania anayeshindanishwa na diamond platinum ambaye kwa sasa inasemekana amesajiliwa na timu ya ligi kuu ya Tanzania kwa kuwa anakipaji cha mpira pia.
Utaalamu wake wote kuogelea kwake ni tabu!..
We all know how good yoga is for you, but what about yoga at the seaside? At Yacht and Yoga we know it's even better! Research shows that being by the sea has many benefits: our stress levels drop, we get more creative and generally improve our health just by being close to salty water. Now add...
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani.
Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi kuimarisha mahusiano yake.
Diamond: Nafkiri ili kuwatendea haki Watoto, ni vyema pia Kuongeza Tickets zingine 10 Maalum kwajili ya Watoto tu, wakiambatana na wazazi wao...nao Kwenda South Africa kufurahia Miaka mi 3 ya uzaliwa wa Rafiki yao Mpendwa @princess_tiffah ... Hivi Unafikiri ni Benki gani haswa ni Sawia Yenye...
KUTAFAKARI/MEDITATION
Kutafakari "Meditation" au katika lugha ya Sanskrit "Dhyana" ama mtiririko wa mawazo ni moja ya sehemu kuu Yoga inasisitiza kuidumisha katika sanaa hii ya upanuzi wa mawazo.
Falsafa ya Yoga inaamini kwamba ubongo wa mwanaadamu unatoa msisimko wa mawimbi ambayo...
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao na kupiga picha na nguo zikionyesha maungo yao.. Je mdau we unahoja gani kuhusu hili?.
Mfano:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.