Recent content by multmandalin

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

    Kwa jinsi ulivyoandika tafuta tu wakili, Humshindi Huyo mwizi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    We jamaa unaakili sana! Yaani nimecheka kwa kichwa cha habari tu, nikisoma habari yenyewe utaniuwaaaa!😥😥😥😥😥
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Engine oil

    Hizi ndizo kazi za oil! Lubricating Cleaning Cooling Rust preventing Tear and wear prevention.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Engine oil

    Oil inachujwa wakati inatoka kwenda kazini na si wakati inarudi,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

    Babu hili jina la😠 kikurya? Kyan nini sijuwi!,🤣🤣🤣🤣
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

    Mwenzio kadondoka kabisa! Piuuuuu.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    Ndo limelipuka sasa! MIKALILE YA WANYAUSI kaianzisha mwenyewe!😂😂😂
  8. M

    JamiiForums Tanzania Akipatikana Spika Mpya Bunge litaendelea kuwa la 12 au litabadilika kuwa la 13?

    Da kuna siku watu mnaakili sana! Hii ni ya Tano tu mengine mbwembwe!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Sumaye the longest serving PM!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa kwanini Spika anaandika barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu wa Bunge!

    Hii ni press release tu, japo barua bado kaielekeza kusiko, ndo waswahili tulivyo! Makosa tunayaona kama utatatibi tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    MIKALILE YA WANYAUSI ndo shida ilokoanzia hivi ndo nini haswa?
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Usichanganye binadamu na myama, kwa binadamu sex starehe, uzazi ni asilimia ndogo sana! Kwa mnyama sex ni uzazi
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    We pumbavu ukome! Utalaanika kuwaza tu kuandika hivi ushalaanika 20% acha kabisa ujinga! Mwache aolewe kisheria aakishaolewa anachapa lapa! Afu mbona unaa wivi mbaya sana we mtoto dah....
Back
Top Bottom