Recent content by Multiways

  1. M

    CHADEMA Zanzibar wamtangaza mgombea ubunge Kiembe Samaki

    ah,,,usiweke tamaa kabisa,,,bado sana tena sana chadema kuwika visiwan,,,labda kuanzaaa,,,,,2020,,,,ila saiz daaaaah,,,ndoto tuuuu
  2. M

    Hivi kuna simu inaizidi Sony Xperia Z kwa picha? Namaanisha kutoka kampuni nyingine

    dah,,,ebwana,,,hio cm ipo sawa,,ila inapitwa na nokia lumia 1020,,,hii ndio best kwa sasa,,inafutwa na hio ulotaja,,,ila,,,xperia z1,,baad ya mwez mmoja itakua hatuijadili tena,,kuna kitu kinakuja,,note 4,,,na sumsung galaxsy s5,,izo nyengine ni publisher lkn sio zaid ya hizo,,,
  3. M

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    zito kabwe
  4. M

    Zitto aamua liwalo na liwe juu ya mabilioni yaliyofichwa nje ya nchi

    huyu jamaa ni kichwa na atawapelekesh sana wale wanaompitia kinyume maana ana ukweli wa kutosha
  5. M

    Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

    kwa sisi tunaoamini dini ya kiislam,,hatuna shaka hii ni nguvu za allah pekee,,kwasababu ndie alie na uezo wa kufanya lolote kwa wakat wowote,,
  6. M

    LIPUMBA,MBATIA, na MBOWE,muungano wa vyama vyenu umeishia Kimya kimya kulikoni?

    mm sidhan ivo,,maana kinajulikana wale waliungana kwa idea ile tu,,na kwakua ilishakua na muelekeo hapakua na haja ya kuungana
  7. M

    Jumuiya ya vijana wa CUF yaionya UVCCM

    usiwe mjuaj na kutus hao ccm na cuf ndugu yangu,,unatkiwa ue na evidence za kutosha kuonesha unafiki wao,,
  8. M

    Mpenz wangu anatafuta mahusiano toka nnje

    kinachotakiwa ni kujielewa yy mwanamke nn anafanya hasa kuzingatia ana mpenz ww,,so ikiwa hili hajielewa kuna hatar ya kukuacha,,maana hawa wanawke usiwaamin saana,,mapenz yao yapo mikononi tu,,tamaa kibaaoooo,
  9. M

    Hivi unaweza kumkumbatia mpenzi wako staili hii..????

    hii haingii tena,,kukumbatia,,haoa anamla romance huyu,,tena inaonekana ni muda mrefu kias ya hata kuanza kunogesha kwa kumpapasa nyuma kama inavyoonekana
  10. M

    Jamani nisaidieni nimuoeje huyu dada wa kiislamu

    ushauri,,ili usigombeshe familia,,na kwakua wazee wanalipiga vita suala hilo,,kama ambavyo umelisemea mwenyewe,,kutaka kumuoa huyo badili ww dini halafu nenda kwa wazazi wake ukiwa na dini kama ya huyo mwanamke,,vyenginevyo utaishia kumgonga na hayo mengine ukiwa nje ya ndoa,ambalo sio jambo...
  11. M

    Mtanzania: Hali si shwari Zanzibar; Pemba yataka uhuru kamili

    ,,nje ya muungano hakuna zanzibar,,kwa mising ipi,,usiseme tu,,alosema nyerere,,unatakiwa ufafanue kwa mising gan,,kutokuepo muungano hakuna zanzibar?,,,ukishindwa kutoa hoja za msing utakua muongo tena mnafiki
  12. M

    Siku nilivyomshangaa Rais Kikwete. Ni baada ya kuyajua haya

    fantastic mtoa mada,,hapa nakubaliana na mawazo yako,,
  13. M

    Zitto Kabwe: Sijamuoa mtoto wa rais Kikwete, sipo bungeni kwa ajili ya kupigana ngumi

    tusie wajuzi wa kumsakama mtu,mbila ya evidence,,fine amesema ivo,,haya je,,tunayomtupia dhid yake yana ushahid!?,,mm nadhan ili tufike tue wawaz sana,,zito kaweka wazi mshara wake na hata huo wa waziri,,lipi tena lenye utata,,tue waelewa,
Back
Top Bottom