Recent content by Multi-skilled

  1. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Naomba ndizi za kuiva ziwe nyekundu kama njano usilete mimi shabiki wa Simba.
  2. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Nimegundua normal transfer inaku- marinate kwanza kabla ya kukubamiza lakini Vacancy request inakubamiza hapo hapo haikucheleweshi
  3. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ni kwanini daraja la juu inakubali na kusema ipo kwa head of institution lakini daraja langu still 'Vacancy not budgeted' ni apply kwa daraja hilo hilo la juu au nikaushe wadau
  4. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya; msanii aliyechagua kupigana vita vigumu kwa njia ya wazi

    Ushoga unafaa kupingwa kwa nguvu zote ila pia Mtu kama Dudubaya hapaswi kupongezwa kwa kuwa mjinga he act like a useless old man
  5. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sawa mkuu nimeandaa mkeka wa taasisi 25 ni jiwe juu ya jiwe
  6. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Pesa haisikilizi maombi, pesa ni inafuata kanuni zake. Pesa sio shetani ila umasikini ni ushetani namba moja. Ufukara sio sifa

    Umasikini ni chanzo cha uchawi, wivu, majungu, fitna, roho mbaya kwa kifupi umasikini ni usng Kataa Umasikini
  7. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Serikali kutaka kuhamisha watu Temeke ili kupisha Bandari Kavu ni ukatili wa kiwango cha juu. Hii Serikali ni ya Kijamaa kweli?

    Keko, Azimio, Buza, Sandari, Kilakala, Mtoni, Temeke, Miburani na Yombo Vituka. vunja wape chao tuendelee kuboresha jiji
  8. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Mtu anayenunua kiwanja bondeni na kupewa hati miliki huwa inakuaje kuaje wakuu yaani mtu anaishi bonde la msimbazi nyumba yake inaangalia calvat jipya la mto msimbazi kigogo 😳😄😄😄
  9. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

    Sasa Bro huyo si m@l@y@ tu hata wasukuma kina kajalar na wanyamwezi kina uwoyah wanaishi hivyo, makabila yameingiaje mkuu
  10. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

    Mpaka sasa tuombe job na mzize wapone na wapate utimamu ili tucheze ROBO lazima kiungo tuwe na Duke maxi muda na Azizi pale juu Attacking tuwe na mzize kama winga kushoto kangwanda kulia na shalulile kati Ulinzi CB wawe job na Bacca hapo hata fainali uhakika
  11. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

    Huyu kangwanda ni mchezaji mzuri ila sasa sijui ni maringo au uvivu naona kama anatumia asilimia chache sana za uwezo wake
  12. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Nyumba Sinza Watishia Kwenda Mahakamani Kupinga Mpango Mpya wa Maendeleo 2026–2046

    kama kila mwenye nyumba atakuwa mmiliki wa sehemu ya maghorofa mapya shida ipo wapi? Nyumba zao si zinapanda thamani zaidi? Au nyumba nyingi za kurithi
  13. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa baraka za wazazi au laana ya mzazi na hakuna kitu kinaitwa karma zote hizi ni nadharia za kutiana moyo

    What you think and do is what you become hakuna unseen power behind it
Back
Top Bottom