Recent content by Mullocoz

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba umri mwisho miaka 26

    Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo Dar es Salaam natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26. Awe anajitambua, awe tayari kuishi na mume, awe mzur wa sura na umbo pia bila kusahau tabia mzuri. Mwenye sifa hizo anicheki kwa namba hizo hapo kwa mawasiliano 0712...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zimamoto update

    Jaman masajini lini matokeo yake ya usaili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Masajini Zimamoto

    Jaman majina ya waliopita kwenye usaili wa sajini zimamoto vipi mbona kimya?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa zimamoto

    Jamani matokeo ya usaili wa zimamoto vp jaman mbona kimyaaaaa sana tujuzane wa JF:ohwell:
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Zimamoto kwa tarehe 28&29/03/2014

    Jaman majina ya sajini yanatoka lini jamani?tujukishane
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa umri miaka 25

    Mi ni kijana mtanashati umri wangu ni miaka 26 natafuta mchumba wa kuoa umri mwisho miaka 25 kushuka chini sifa kuu heshima,upendo,huruma na uvumilivu pamoja na umbo namba 8 mwenye sifa hzo anichek kupitia namba zifuatazo 0712998696 tafadhal usibp biga ama tuma msg.karibun ulimwengu maridhawa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zima Moto Updates

    Jaman majina ya sajini bado tu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    Jaman majina ya sajini bado?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    naomba msaada wa herefi I jaman mi sina jinsi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zima Moto Updates

    Mmmmmmmh haya bhana
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe anahatarisha ndoa yangu

    Poa mkubwa
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe anahatarisha ndoa yangu

    Nimetoa mahari na ndoa ina miezi 4 tu
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe anahatarisha ndoa yangu

    Mama mkwe amemshawishi mtoto wake aachane na mm na kumuambia km ataendelea kuishi na mimi atamuachia radhi mtoto wake nilipompigia cm mama mkwe akasema ndio nimemwambia nikamuuliza sababu gan akasema sina sababu sitaki tu na mtoto wake kaondoka kweli hii wiki ya 2 sasa hataki kurudi kwa mume...
  14. M

  15. M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa zimamoto

    Majina ya waliopita kwenye usaili wa zimamoto yanatoka lini tujulishane.
Back
Top Bottom