Recent content by Mulky

  1. Mulky

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Hata wasemeje hapa.mwendo mdundo tu Lowassa ndio Rais tunaemtambua hizo Tathmini zao za uongo na kweli wazipeleke kule huku tumejipanga kura yangu ni Lowassa tu sitetereki hata kidogo
  2. Mulky

    Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

    Tatizo sio bundle
  3. Mulky

    Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

    Pic pliiz nitumieni
  4. Mulky

    Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

    Cjaziona ndg yng nitumie pliiiz
  5. Mulky

    Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

    Jamani leo lowassa alikuwa wapi
  6. Mulky

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Kazi kweli kweli
  7. Mulky

    CCM imejiandaa kuwawekea pingamizi baadhi ya wagombea wa ubunge na udiwani wa UKAWA

    Mungu yupo nasi mpaka kitaeleweka tu mpaka sasa wanatakiwa wajitaarishe kubeba virago vyao waondoka wataalamu waingie ikulu✌✌✌✌✌✌✌
  8. Mulky

    CCM imejiandaa kuwawekea pingamizi baadhi ya wagombea wa ubunge na udiwani wa UKAWA

    Ukawa wako imara balaaaa CCM itang'olewa tu safari hii
  9. Mulky

    CHADEMA na UKAWA tukubali ku surrender, hatukujipanga

    Mziki upo njiani subirini mtaona mapambano yanayokuja huko ukawa wataisoma namba hao CCM
  10. Mulky

    Kikwete na familia yako na Kamati ya Maadili hamtaikimbia aibu hii mliyoitengeneza

    Fandre umenena kweli hii ni laana kwa CCM itawamaliza haitowaacha kamwe
  11. Mulky

    Kikwete na familia yako na Kamati ya Maadili hamtaikimbia aibu hii mliyoitengeneza

    Mie bado namtambua lowassa ndio mwenye uwezo wa kuwa Rais wa Tanzania na sio waliomchagua
  12. Mulky

    Ndugu yetu Bernard Membe yuko wapi, anawaza au amejipangaje saa hizi?

    Hapo sasa na bungeni je atarudi vipi na alishasema bungeni harudi tena kazi ipo hapo
  13. Mulky

    CCM ivunjike tu

    CCM kwishaaaaa 👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋R.I.P CCM
  14. Mulky

    CCM imeanza safari ya kuelekea kuzimu

    Baada ya kushindwa kumueka anayekubalika na wananchi.wameamua kumuweka ambae hawakumtarajia kabisaaa 😃😃😃😃😃Kweli bao la mkono tumelionaaaaa,lkn bora tumekosa wote wapi Membe kuleeeeee
  15. Mulky

    CCM imeanza safari ya kuelekea kuzimu

    CCM kwisha kabisaaaa wamechemkaaaaa
Back
Top Bottom