Recent content by mulikatz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Afcon 2022 mbovu sijapata ona

    Yani ukiondoa mechi ya mwenyeji Cameroon mechi zingine zote hakuna watazamaji. Viwanja vitupu mpaka unajiuliza Hili ni Bonanza. Yani aibu naona mimi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji, Passport za Tanzania zinakimbilia mikononi mwa wageni kupitia viongozi waandamizi na askari

    Hivi hawa maadui wengi wanaotuzunguka ni kina nani? Toka Nikiwa mdogo nasikia tu maadui wengi wametuzunguka kila Kona ila cha ajabu hao maadui zetu wapo busy kujenga nchi zao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna timu iliyowahi kushinda Mikwaju ya Penati baada ya kubadilisha golikipa dk za mwisho

    Topolo umetopoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nape na Kinana ni bora kuliko Polepole na Bashiru

    Kuwa na heshima Kijana. Mzee Kinana sio wa kumfananisha na Mwalimu wa Chuo. Mzee Kinana ni mwanasiasa nguli barani Afrika. Amesimamia chaguzi zilizowaweka madarakani Hayati Mkapa, Mzee Kikwete na Mzee Magufuli.
  5. M

    JamiiForums Tanzania GSM Mmesahau Kuweka Mabango?

    Kwani tupo darasani
  6. M

    JamiiForums Tanzania GSM Mmesahau Kuweka Mabango?

    Duuuh kwa nini afute sasa
  7. M

    JamiiForums Tanzania GSM Mmesahau Kuweka Mabango?

    Kwani umekua Bakita?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

    Halafu ana furaha na yuko simple sana hata ukimtukana hajali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuona tena Nape Nnauye katika Uongozi wa juu

    Sawa Nape tumekusikia pia natumaini Mama amekusikia pia
  10. M

    JamiiForums Tanzania "Boys 2 Men", kwanini msiiache Tanzania ipumue?

    Nyinyi ndio wale wa wezi wa TPA & TRA. Mshahara Laki Sita una nyumba Sita
  11. M

    JamiiForums Tanzania Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Mada nzuri ila hakuna ushahidi. Naona siasa za 2025 zimeanza mapema
  12. M

    JamiiForums Tanzania TFF wanataka kuharibu soka kwa sababu ya mlungula wa GSM

    Sijaona Matola mjinga kama wewe
  13. M

    JamiiForums Tanzania TFF inavuna ilichopanda kwenye mpira

    Hizi akili ni za kiutopolo kabisa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba na wachambuzi wao hovyo sana

    Pumba Tupi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

    We Utopolo tuliza mshono
Back
Top Bottom