Yani mtu uko zako kitaani unapiga karibu na kituo cha BODA BODA mara wanaanza kupiga horn ,mwingine ukimwangalia tuu tayari ashawasha chombo anakufuata,sasa leo nilikua nimevurugwa mnoo sasa niko mitaa ya tabata bima naona mtu ananipigia horn mnoo nilichokifanya aisee ni hatari sana Kwa yule...
Habari ndugu zangu,
Yani leo hii nimeachwa apeche alolo kwa utaratibu wa kufuatilia loss report baada ya kupata mafuriko na kuondokewa na baadhi ya vitu vyangu muhimu, so nikajikaza na kasema niende kituoni sasa kufika pale naambiwa niende stationery ya karibu na pale kituoni.
Akili yangu...
Nimekua nikifuatilia tamthilia za Wakenya Na comedy zao huwa zinanirushisha kuliko izi za wabongo, yani kama comedy za wabongo naona ma shamba boy hapa home ndio wanazifurahia sana.
Kuna huduma pale kimboka ya wadada wanaouza nyau ni fake service,haiwezekani mtu umlipe ili umle mzgo anakuambia mbona hukojoi na anatishia kuondoka wakati ww wazungu ni kwanza wapo kitonga. Tunaomba serikali watusaidie Kwa hili.mitano tenaaaaa
za mihangaiko mabibi Na mabwana,Mimi ni kijana mwenye miaka 31 ni me nimekubwa na tatizo la miguu kuwaka moto hata kwenye vidole vya mguuni,baada ya tatizo nilikwenda hospital Na kupima pressure Na Sukari lakini majibu ya vipimo yalionesha kwamba sikuwa na tatizo kwa iyo nikapewa kutumia dawa za...
Wandugu nimekua Na bahati au sijui niitaje ila wanawake wengi wajawazito wamekua wakivutiwa Na mimi Na pindi wakijifungua wanakua hawanipendi tena,wengi huna Wananambia eti kipindi kile cha ujauzito nilikua nakupenda Na nilikua nataka unigegede na hii imetokea kwa wanawake wengi sana toka nipo...