Recent content by mukulu85

  1. M

    Nahitaji guidelines za kujiunga na kufanya mitihani ya CIPS, yeyote mwenye idea!

    Wadau nimemaliza Bachelor Degree ya Biashara nataka fanya mitihani ya profesheni ya CIPS, Je ni level gani taanzia na kuimaliza inachukua muda gani?
  2. M

    Mlio-apply ABG (African Barrick Gold)

    buyers na zingine za supply chain mwezi february
  3. M

    Mlio-apply ABG (African Barrick Gold)

    Wadau hapo kati february kulitangazwa nafasi mbalimbali za Supply Chain, kuna mwenye updates???
  4. M

    Kwa Walioomba Kazi Buzwagi...

    Wadau, kuna yeyote mwenye updates za ajira zilizotangazwa na ABG kwa posts za BUYERS na zinginezo?
  5. M

    Naomba msaada wa kutofautisha Engine 1G-FE na VVTi

    Tatizo letu watanzania ni watu wa kuropoka with no core evidence/arguments, ukimuuliza mtu kwa nini injini za Vvti au D4 ni kimeo anakua hana jibu la kukuambia, kiukweli vvti na D4 ndo current modified features za injini ambazo ziko effective na efficient kwa kila kitu yaani nguvu, mwendo, ulaji...
  6. M

    Watafuta kazi fursa hii hapa

    Bro umeona mbali sana!! thats true kuliko kukaa home ukashindwa tofautishwa na wasio na elimu ni bora ukakamata steringi usongeshe life,,
  7. M

    Ni pepsi tena!!!

    Mi nafanya kazi SBC ila nakushauri ukipata kazi piga kazi mshahara utakaopewa sio mbaya, ukisusa si unaliona soko la ajira lilipo sasa??
  8. M

    Ninamaliza form six mwezi wa pili,je ninaweza kupata tempo work??

    Bwa mdogo hayo mawazo ya kishule kuona kama unaweza perform kile unachofikiria, In short ni ngumu as magraduate wa kutosha wamejaa kitaa miaka inakatika no tempo!!
Back
Top Bottom