kwa taarifa za uhakika ambazo hazina chenga, ukweli ni kwamba kuna uhaba mkubwa wa madereva Serikalini. wengi wao wamekosa sifa za kuingilia ktk utumishi wa UMMA yaani kuwa na cheti cha kidato cha nne. kwa ushahidi ni kwamba kila wanapoitwa Interview wengi wao wanakutwa hawana vyeti vya sekondari hivyo wanarudishwa bila hata kufanya interview......kutokana na hali hii magari mengi ya serikali yanaendeshwa na deiwaka au mengine kuendeshwa na watumishi wasio madereva.....tatizo ni kubwa kuliko.
wakati wenzetu kule Nigeria wenye PHd wakiomba nafasi kama hizi hapa kwetu tunaziacha.....its vert rare Mtanzania mwenye kadegree kake aombe nafasi ya udereva kozi anajiona booonge la msomi.....
my take...anza na kidogo kikubwa kitafuata. anzen kuchangamkia nafasi za udereva hazina ushindani jamaniii. hata mbuyu ulianza kama mchicha