Recent content by Mukua

  1. Mukua

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

    Azam wanafanya hivyo kwa sababu hawana mpinzani. Wenye visambuzi vya Azam WOTE akiacha kulipa kwa miezi miwili atanyooka na kushusha gharama
  2. Mukua

    JamiiForums Tanzania Kila zama na kitabu chake

    Ni kweli Kila analotenda linaonekana kwenye dhamiira yake. Hasa upendo alionao kwa anao waongoza.
  3. Mukua

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia amekuwa kielelezo bora

    Ni kweli Kila analotenda linaonekana kwenye dhamiira yake. Hasa upendo alionao kwa anao waongoza.
  4. Mukua

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia amekuwa kielelezo bora

    Kwa kazi alizozifanya kwa kipindi kifupi hiki kwenye uongozi wake umedhihirisha wazi kuwa ni kiongozi mwenye kipawa Cha hali ya juu Sana, hekima, uchaji Mungu, upendo,, vyote na vingine vingi vimesheheni katika maisha yake ya uongozi. Kwa hili la kuwaunganisha watanzania na kuonyesha wazi kuwa...
  5. Mukua

    JamiiForums Tanzania Tenda wema nenda zako

    Sasa ndo naanza kuelewa kumbe marehemu alivyo kuwa anatembezwa ilikuwa ni kuonyesha watz kuwa the killer was gone.
  6. Mukua

    JamiiForums Tanzania Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Ofisi ni nini kwa uelewa wako ni jengo au ni watu, Kama unadhani kuwa ni jengo nakushauri nenda ukawaze upya.
  7. Mukua

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliosoma Cuba hili la Mwigulu limekaaje?

    Huyu anayejiita Dkt wa uchumi hivi haya anayo yafanya ni kweli Anayafanya kwa manufaa ya taifa ? Au na yeye pia jicho lake liko kwenye mwaka wa 2025. Make ukichunguza utaona Kama vile anaichonganisha Serikali na wananchi, yeye kila kukicha ni tozo tozo, tozo, hata Kama mamlaka zikimuelekeza...
  8. Mukua

    JamiiForums Tanzania Maisha Bhana! Sabaya aangua kilio Mahakamani

    [emoji16][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji24]
  9. Mukua

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa kwa Freeman Mbowe ni dalili njema kwa umoja wa kitaifa

    Hatuwezi kuzungumzia jitihada zilizofanyika kwa kupitia makundi mbali mbali yaliyo himiza na kuomba mheshimiwa Mbowe afutiwe kesi ya ugaidi. Jambo kubwa na liloilo la muhimu ni kwa jinsi gani hili tukio lilivyo jaribu kwa kiwango mikubwa kurejesha umoja wakitaifa. Hongera kwa mamlaka zote...
  10. Mukua

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    Uwezo wako wakuona anayo yafanya Rais NI mdogo mno Kama sio chuki zako kwake
  11. Mukua

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    We hupendi anapo tafuta hela kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu
  12. Mukua

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wanabodi, kwa kitendo alicho kifanya Job Ndugai , ukweli ni kwamba alichelewa kuandika hiyo barua ya kujiuzulu. Kilicho Baki sasa ni kwa Rais kusafisha vimelea vyote ili afanye kazi kwa kwa Uhuru. Lazima wakubali kuwa Rais wa JMT ni Mama SAMIA SULUHU HASSAN.
  13. Mukua

    JamiiForums Tanzania Kila zama na kitabu chake

    Ameandika barua ya kujiuzulu aende ,zake lazima kiongozi mkubwa Kama yeye Kama aliona Kuna Jambo haliendi sawa ili mpasa kumshauri Rais kimya kimya na Wala si Kama alivyo fanya. Alisumbuliwa na ulevi wa madaraka.
  14. Mukua

    JamiiForums Tanzania Kila zama na kitabu chake

    Soma hapo mwishoni, aangalie wasio endana na Kasi yake ,atimue.
  15. Mukua

    JamiiForums Tanzania Kila zama na kitabu chake

    Hayati John Pombe katika utawala wake alihakikisha kuwa mabaki ya viongozi wote alio waacha Rais mtaafu Jakaya wote ana wafutilia mbali kwenye utawala wake. Na hili alifanya huku akiamini kuwa ile ilikuwa Safu ya wapiga dili, mbali na Hilo alitumia mbinu nyingi kuwaaminisha wa tz kuwa hao...
Back
Top Bottom