Waheshiwa wote mm nimemaliza kidato cha 4 mwaka Jana ninashida ya vyuo ili nikasome KOZI please! Mwenye tangazo lolote naliomba la chuo ,Iwe UTUMISHI-ULINZI-NURSING NK,
Upo safi sana brother, ila umeacha kitu kimoja kuhusu kuongeza idadi ya wanajeshi,kuna wanafunzi wamemaliza mwaka jana form 4 wamepata four ya 27,28,na 29 kwanini wasituwekee njia rahisi na sisi namna ya kujiunga na jesh sana sana sisi wa vikijini
Waheshimiwa,wababa zangu,wa mama zangu,wakaka zangu, wadada zangu na shemeji zangu mm humu ni mgeni naomba principal na kanuni jins ya kutumia yaani vitu gan vinatakiwa vitugani havitakiwi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.