Nina shida ya chuo cha diploma

Apr 16, 2017
8
3
Waheshiwa wote mm nimemaliza kidato cha 4 mwaka Jana ninashida ya vyuo ili nikasome KOZI please! Mwenye tangazo lolote naliomba la chuo ,Iwe UTUMISHI-ULINZI-NURSING NK,
 
karibu vyuo vyote wataweka matangazo yao online so far we check net kwa shida nifuate inboxkwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom