Recent content by MUKINGA MSANGI

  1. M

    Nani anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani? andika jina hapa chini bila chuki...

    Lugola, kwakua anaijua polisi vizuri na ukiritimba uliopo,labda angeweza kuusambaratisha,because he was policeman material.
  2. M

    Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

    Simba wa Yuda hua hatishiki kwani anajua yaliyopita ya sasa na yajayo. Na hua mwenye ujasiri ndie atakae iongoza nchi hii kwani tumeona hapo nyuma wakina Nyerere, mandela na wengine wengi waliokwisha ongoza nchi za kiafrika walikua ni majasiri kwa kupambana na makaburu na watu ambao walikua...
  3. M

    Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

    Kutokana na ujasiri ulioujenga kutanabaisha kati ya mbivu na mbichi Mungu akuepushie mbali majaribu yao.Sasa kwavile umenena vyema ushauri wangu ni huu: 1. Nenda kwenye vyombo vya habari ujiosheshe hadharani kam ITV, STARTV,na EAT 2. Nenda kafungue jalada polisi. 3. Nenda kwenye kituo cha haki...
  4. M

    Je ! Tanzania inasonga mbele au inarudi nyuma kimaendeleo?

    Mimi napata wawasi sana kuhusu maendeleo ya nchi yangu miaka hii ya karibuni, kipindi cha nyuma nikimaanisha enzi za uongozi wa kwanza hadi wa tatu, kidogo tulikua tunajivunia kua na viwanda kama; viwanda vya magunia Morogoro, vya kusindika matunda, kiwanda cha tyres Arusha (gerneral tyre in...
  5. M

    Picha na mtukio; abdurahman kinana na nape ziara yake morogoro vijijini

    Hizi style mnazokuja nazo mara kusaidia watu shambani, kujenga nyumba (kuchanganya udongo) kutembelea miradi. Hayo yote nikuhadaa wananchi , na wenyewe wameshagundua ndio maana wanawauliza maswali magumu mnashidwa kujibu. Mliwaahidi maisha bora yameshindikana sasa mnamangamanga. Maji ukiyavulia...
  6. M

    Tembelea CHADEMA blog

    Hii ndio sauti ya wanyonge, kwani nchi yetu imezama katika zimwi la udhalimu na ukandamizaji wa wanyonge.
  7. M

    CCM kuhitimisha ziara yake mkoani Morogoro kwa Mkutano mkubwa Aprili 21, 2013

    ....CHADEMA ni wavunjifu wa amani ya nchi yetu.... ....CHADEMA ni chama cha fujo na cha kigaidi..... .....CHADEMA ni chama cha wachaga....... ....CHADEMA ni chama kinachohamasisha ukanda, si mnaona wamegawa nchi kwa kanda?..... .....CHADEMA ni chama cha KIDINI...... .....CHADEMA ni chama chenye...
  8. M

    CCM kuhitimisha ziara yake mkoani Morogoro kwa Mkutano mkubwa Aprili 21, 2013

    Kutokana watu wengi wameshajua kati ya cdm na chama cha kulewa madaraka ni kipi kinatetea masilai yao, pia na uelewa wa kuchambua lipi ni kweli na lipi nilauongo. Kwakua tumeona mikutano walizofanya hapa Morogoro kwa watu kusuasua, mkutano unaweza kuwa na watu wachache thereafter utaambiwa watu...
  9. M

    Dr Slaa alikuwa maarufu bungeni bila lugha ya kuudhi wala matusi, wabunge vijana CHADEMA igeni

    Mimi nakubalina na mtoa hoja hapo juu,kutokana kumeshajulikana wabunge ambao hawapo kwaajili ya kutetea jamii iliyowatuma (especially walioko madarakani). cdm watulie na kufanya waliotumwa na wanachi wao ili wananchi wachambue pumba na mchele. Mbona magamba yamelegea na yanaweweseka kwa kulewa...
Back
Top Bottom