Tembelea CHADEMA blog

Tembelea CHADEMA blog

Status
Not open for further replies.
Asante kwa taarifa, wajitahidi kuweka matukio kadri ya wakati
 
Hii ndio sauti ya wanyonge, kwani nchi yetu imezama katika zimwi la udhalimu na ukandamizaji wa wanyonge.
 
Kwa kuwa ni chadema blog,ningependekeza asilimia kubwa ya vyanzo vya habari vitokee chadema ,iwe msemaji wa chama au mhusika mwenyewe wa habari.yaani ifanywe kwamba magazeti yaje kupakuwa habari hapa si kinyume chake!
 
asante mkuu..
Mmhhhh Mnyika anasura nzuri kweli..
nemeona tu niseme.. lol
 
Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!! nakupenda sana nina IMANI sana nawe kwa DAMU au MAJI,USIKU au MCHANA,SHDA au TAABU,kwa kupigwa na MAWIMBI ya NGUVU ya mafisadi na uongozi mbaya kutoka chama cha kijani naahidi kuwa NITAKUPENDA CHADEMA mkombozi wakweli
 
Nikilala chadema,nikiamka chadema,nikiwa kazini chadema,
nikiwa kwenye harakati za ukombozi chadema.
Hakika chadema ni chama cha kuwakomboa wanyonge wa taifa hili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom