Recent content by Muki1

  1. Muki1

    Tunatakiwa tujikomboe na utumwa wa pesa

    Dah naona watu wanamwandama jamaa kuhusu usomaji wa vitabu,Kusoma vitabu inakusaidia kuongeza maarifa ambayo moja kwa moja yanaweza kuchochea kwa namna moja ama nyingine mabadiliko ktk maisha yako kama utaapply maarifa hayo kwa vitendo. Kusoma vitabu kunamfungua mtu kwenye kifungo au changamoto...
  2. Muki1

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Financial rule ilibadilika toka 1970,jifunze kufanya leverage katika uwekezaji wa pesa zako kwa kukuza uwezo wa Financial intelligence na Financial IQ yako.. Kuweka 500 m ili uje upate gawio la asilimia 15 kama faida ya pesa yako huo uwekezaji ni dhaifu na sio sahihi,hii biashara tuwaachie...
  3. Muki1

    Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Kwani hana ndugu wa kumsaidia...?
  4. Muki1

    Baba mzazi adaiwa kumlawiti mwanaye wa miezi 6 mpaka kifo

    Mambo mengine tunamlaumu bure shetani ,lkn kiuhalisia mate ndo tunayafanya wenyewe kwa utimamu wetu wenyewe.God have mercy on us..
  5. Muki1

    Faida za Daraja la Magufuli

    4 ways kwa mwanza ni ngumu..
  6. Muki1

    Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

    Acha kutetea ujinga ilihali ukweli unaujua..
  7. Muki1

    Kosa gani unalijutia hadi leo?

    Kuna ka dawa wanaweka mlangoni wanaweka na nguo yako(mwanaume) ukikaruka tu mtoto anafanana na wewe hata kama mimba sio yako..
  8. Muki1

    Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

    Achana nae,hao wanaume wawili waliokua wanampa pesa nyingi nina uhakika bado wanaweza kumuwin moyo wake siku za mbeleni,fanya maamuzi magumu...
  9. Muki1

    Mambo ambayo yananiumiza na yaliyowahi niumiza sana

    Kama kweli hukumkosea mzee hupaswi kunung'unika hata kidogo,ndugu sio wa kuzingatia maisha ya siku hizi hata ukifa ndugu wengine hawatokuja kwenye msiba wako,ishi vema na kuwekeza kwa familia yako na kuwa na mahusiano mama na zengo hao ndo watakua wengi kwenye msiba wako na ndio watakao kushusha...
  10. Muki1

    Mahusiano ya kimapenzi bila pesa hayawezekani?

    Unatafuta tena wa levo yako huku ukideal na maisha yako, mwanamke akikuacha muache aende kamwe usimlilie wala akirudi usimpokee....
  11. Muki1

    Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Uzi uishie hapa,umemaliza kabisa,wahusika wakuu wa shughuli inayomhusu kijana ni pale alipolelewa na kukulia huko kwingine wanatakiwa kupewa taarifa tu. .
Back
Top Bottom