Recent content by mujoma2011

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bsc in Environmental Engineering at ARU

    Naomba kujua hasa kuhusu hii course ya BsC in Environmental Engineering inayotolewa hapa ARDHI UNIVERSITY (zamani UCLAS). Kwa hapa bongo ni kazi gani hasa hawa watu wanafanya na vipi kuhusu market yake hapa tanzania(je inalipa?).ipi tofauti kati ya Civil engineer na Environmental engineer maana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania scholarship 2012/2013 updates

    Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha ARDHI university zamani UCLAS. Nataka kuomba scholarship ya kwenda kusoma nje kwa coz tofauti na ya sasa ninayosoma. Kwa sasa nasoma BsC in Environmental Engineering. Napenda kusomea medicine. Sasa nataka kujua kama naweza ku aply kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Help in Bachelor of science in environ mental engeneering at ardhi university!

    What about fuculty requirement ya iyo coz? And is there anybody humu anasoma iyo fuculty hapo ardhi university aonge kidogo hapa and kama vipi ani PM!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Help in Bachelor of science in environ mental engeneering at ardhi university!

    <br /> <br /> HONESTLY I RILY APPRICEIT UR HELP.UR DETAILS R SO HELPFULL,BT THERE IS 1 THING I HAVE TO ASK,WHAT ABOUT FUCULTY REQUIREMENT
  5. M

    JamiiForums Tanzania Help in Bachelor of science in environ mental engeneering at ardhi university!

    Kuna dogo hapa kachaguliwa to parsue BACHELOR OF SCIENCE IN ENVIRONMENTAL ENGENEERING at ARDHI UNIVERSITY. So shida yangu,nataka kujua 1. hii coz inahusika na nini hasa ,2.mtu aliye graduate coz hii anafanya kazi zipi,3.ina position gani katika soko la ajira tanzania,4.wat about ts salary...
  6. M

    JamiiForums Tanzania HatimayeTcu watowa majina ya waliochaguliwa elimu ya juu na kiwango cha mkopo

    Mbona nimechek kwenye web yao but hakuna jipya? Kama vipi hebu dondosha link hapa!
Back
Top Bottom