Recent content by mujitahid

  1. M

    JamiiForums Tanzania macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

    scrub....
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    asante
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    inawezakana kwa kuwa uzuri n kwa anayeona..si mbaya kujihesabu ila siko maarufu au much knoo..avarage
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    da maongez yake yanasidikisha ndio ila kwa vitendo vyake unaweza kuona hivyo dah..
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    nimefanya uchunguz wa kina sana hili nalikata kwa kuwa mwanzano nlihisi hivyo n th fact was th first
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    mi mwenyele nimezimika sana sio ndugu tu hata majirani wanamjua mm kwao n yy tu ndo anayenijua
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    sio secondary hyku...na gpa zinasoma vema mbona...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    nimekusoma
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    asante sana..n vitu vingi navikosa na kwa kweli kuna wakati naweka hisia zingine ila anipa moyo na kuangalia mazingira ya livyo kimaadili..tunasubiri mda mchache kuapishwa na alhaji mw...ili tuanze utaratibu wa ndoa ndo nkawa nahitaji udheefu
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    kwa sura hapana n zaidi ya hilo maana mwewnyewe anajivunia..ila tatizo distance hapa
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    eti ehhhh
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    dah ninavumilia ila natamani awe rafik na sio mpenzi tu..nakosa hilo
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

    nina mpenz wangu huu n mwaka wa tano sasa hataki kunitambulisha kwao wala kunizungumzia kwa marafiki zake.na ikitokea tuenda sehemu anataka tukutane huko huko.kibaya zaidi tupo hostel moja kwa miaka yote hiyo kuja chumban n usiku sana au kuonana sehemu za giza tu.hatujawah kula pamoja kantini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES Best University in Tanzania, 1610th Worlwide

    sina usemi bado mambo hayajakaa pia..bt proud of it muhas
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Intelijensia na watu kama kina James Bond

    si kama movie inaitwa THE DEBT
Back
Top Bottom