Si upendekeze ndoa kabisa ili awe huru.
Napenda sana msichana wa namna hiyo, ila asitumie kama kinga ya kuwa na mahusiano feki.
Una mwenzako kama sio wenzako hapo campus shtuka wewe!!!!!!
Kwa kifupi, hajakupenda bado huyo! We endelea kuvuta muda kitakachojiri mbeleni ndo hichohicho
We sio handsome bwana na mchumba wako ni mburula tu
usiwe na haraka..treat her the way she wants. only time will tell.
labda una sura mbaya, acha uzembe chapa mashine mpaka mtoto akikuona anang'ang'ania kukukumbatia,
nimefanya uchunguz wa kina sana hili nalikata kwa kuwa mwanzano nlihisi hivyo n th fact was th first
Lets be honest, hapa kuna mambo matatu.
1. Huyo mwanamke anaishi maisha fake, anataka aendelee kuonekana ni mwenye maadili mbele ya watu.
2.Ana mwanaume mwingine ambaye ni bora zaidi yako na ana malengo naye, kwa mantiki hiyo hapendi kuonekana malaya na kuharibu malengo.
3. Huna hadhi ya kuwa naye maana muonekano wako hauna mvuto. Kwa kifupi wewe ni kidumu tu labda unajua vizuri "kugegeda".
Ushauri:
Chapa lapa mapema maana technically you're a zombie!!
nina mpenz wangu huu n mwaka wa tano sasa hataki kunitambulisha kwao wala kunizungumzia kwa marafiki zake.na ikitokea tuenda sehemu anataka tukutane huko huko.kibaya zaidi tupo hostel moja kwa miaka yote hiyo kuja chumban n usiku sana au kuonana sehemu za giza tu.hatujawah kula pamoja kantini kuongozana au kusogeleana wakati wa mchana hata tukikutana kwenye korido n salamu za kuchekeana..tupo madarsa tofauti na ilishawi kukutana tupo kipindi anadai nisi msogele kwa kuwa hataweza kuongea wala kuelewa kabisa na discousion ndo nsujaribu kwa kuwa akili itamuhama..
mwanzoni alikuwa na sababu kwa kuwa mama yake na yy alikuwa compus moja hivyo akawa anamohofia asionekane ana tabia mbaya..ki ukweli n bint mstaarabu na sio limbukeni au mauuza sura lakini kama kweli ananipenda iwaje aweke distance hivyo na tukiwa wemyewe mafichoni anajiachie hivyo..sisemi anakumbatie au kunibusu hadharani ila awr free kama anavyokuwa kwa watu wengine...je ni aibu au muoga au hanipendi..hajaw kuwa na mahusiono hapo awali m ndo wakwanza.nisaidieni nifanyaje