Recent content by mujibu

  1. M

    Kwanini nguvu kubwa inayotumika kumtafuta "Mo" isitumike kuwatafuta Ben, Azory na waliotaka kumuua Lissu?

    Umeandika vizuri umeeleweka lkn umesahau ya mkuranga walikufa watu wengi ila hukuandika kama hivi au unaangalia upande wako?
  2. M

    Kitanda kimeteremshwa toka kwenye basi checkpoint Bagamoyo kwa kosa la abiria kushindwa kulipia ushuru wa misitu wa Tsh 20,000

    Tutakuamini vipi unaweza kupiga picha kwa maslahi yako binafsi kama ulivyo fanya
  3. M

    Tundu Lissu: Napendekeza kutafakari mambo yafuatayo ya kufikirisha katika kujaribu kuelewa maana halisi ya hii hama hama

    Lisu amesahau kina wasira dr slaa na wengine wengi ambao walienda vyama vya upinzani baada ya kukatwa ccm?
  4. M

    Uchaguzi tumeuona, CCM tumewasikia, CHADEMA tumewasikia. Watanzania wanasemaje?

    Unapojibu hivyo unaonekana una upande flani
  5. M

    M/kiti halmashauri ya Hai atoboa siri kuhama kwa wenyeviti na madiwani

    Hivi jf ni kwa ajili ya matusi na kukashifiana?
  6. M

    Tundu Lissu: Prof. Kabudi ni bingwa wa kuchapia, hasa kwa watu wasiomuelewa au walio wavivu wa kusoma au wenye uelewa wa juu juu

    We na kabudi tumwamini nani acha upotoshaji kabudi ni mtaalam wa sheria
  7. M

    Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Said maulid mwenye kiti wa tff hao wachache
  8. M

    Waraka kutoka Iringa: Sababu za Tundu Lissu kumshambulia Rais Magufuli hizi hapa...

    Hongera kwa ufafanuzi mzuri nahisi umeeleweka
  9. M

    Joseph Yona: 06/01/2014 nilitekwa na CHADEMA kwa maagizo ya Mbowe na Mnyika

    Pole sana mkuu hata kwetu bk rwakatare ana jumba kubwa halina mtu anawaongopeaga watu kuwa kuna watoto yatima ila ukiingia hamna kitu chochote
Back
Top Bottom