Wakwako?Ungepewa wewe ungefanyaje? Mdoml nyumba ya maneno.
Da!, mkuu upo?,okoa jahazi hilo, Mbowe ubunifu umefikia kikomo
Watu wanadunguliwa kama Swala hadharani bado unawalaumu!!!, Kweli mdomo nyuma ya maneno.Wakwako?![]()
Acha lugha za kukatisha tamaa makamandaWatu wanadunguliwa kama Swala hadharani bado unawalaumu!!!, Kweli mdomo nyuma ya maneno.
Kwahiyo Mbowe akikaa pembeni tume ya uchaguzi itatenda haki,polisi watatenda haki ama?Mkuu Mbowe pamoja na utetezi wake wote anaoufanya, sasa ni wakati muafaka kukaa pembeni. Mimi sio muumini wa kiongozi yoyote au chama cha siasa kukaa madarakani zaidi ya miaka ya kunyooka. Haswa kiongozi huyo au chama hicho kiwe ni cha muafrika. Ukikuta chama au kiongozi wa kuchaguliwa wa kiafrika kakaa madarakani zaidi ya miaka 10 lazima aongoze kwa mizengwe. Hivyo kwa falsafa yangu hii Mbowe na ccm sasa ni muda wa kukubali kukaa pembeni ili kusiwe na mizengwe.
Kha! Sasa hapo nakatishaje tamaa mkuu?Acha lugha za kukatisha tamaa makamanda
Ukiwa na akili timamu unaelewa kuwa sasa serekali imedhamilia kabisa kupitia chama tawala kuua upinxani hapa sio kwamba wapinzani wamekosa maarifa ila nikwamba aliye juu hataki mtu mwingine asikike zaid yake yeyeWaendesha vyama vya siasa,Vya upinzani wameishiwa maarifa, ispokua hawataki kuachia wengine gurudumu, kisa urafi Wa ruzuku, acha upinzani upwaye tu
Kwahiyo Mbowe akikaa pembeni tume ya uchaguzi itatenda haki,polisi watatenda haki ama?
Ukiwa na akili timamu unaelewa kuwa sasa serekali imedhamilia kabisa kupitia chama tawala kuua upinxani hapa sio kwamba wapinzani wamekosa maarifa ila nikwamba aliye juu hataki mtu mwingine asikike zaid yake yeye
Mm nadhani vyama vingi vifutwe halafu tusikie ccm watasema neno gani
Naheshimu maoni yako, ila fahamu uhuru una mipaka, kutimiza wajibu ni kitu muhimu Sana kwa mwanadamu yoyote ,umagharibi una pros na cons zake pia kwa muktadha Wa kiafrikaUkiwa na akili timamu unaelewa kuwa sasa serekali imedhamilia kabisa kupitia chama tawala kuua upinxani hapa sio kwamba wapinzani wamekosa maarifa ila nikwamba aliye juu hataki mtu mwingine asikike zaid yake yeye
Mm nadhani vyama vingi vifutwe halafu tusikie ccm watasema neno gani
Atoe kijiti sasaKukaa pembeni baada ya muda fulani hasa miaka 10 sio kushindwa kuongoza au kutaka tume itende haki, baki ni kuruhusu mawazo mapya kwa afya ya taasisi au nchi. Kwenye hili hatuangalii sura wala chama. Huu wimbo wa kukaa madarakani muda mrefu kwamba una nia njema au ndio mwenye uwezo ndio ulimfanya Nyerere akakaa zaidi ya 20yrs mpaka yale mazuri yakaharibija tukaishia kuvaa viraka. Mbowe ni mzuri sana na tunaheshimu mchango wake, lakini wakati ukuta.
Upinzani hauwezi kupwaya upinzani upo mioyoni mwetu.
Sisi wote ni wapinzani.Ccm inamarifagani zaidi ya kupiga Risasi Wapinzani wa kweli kama Akina Lisu?
Ccm ina maarifa gani zaidi ya Polepole na Mwenyekiti wake kutumia Kodi zetu kununua wapinzani na Kurudia uchaguzi?
Ccm inafanya maarifa ya kishamba Alafu Bashite anajipongeza na Polisi wanao kula mshahara wa kodi zetu watanzania.
Atoe kijiti sasa
Kazi kitu gani?Maneno ya kichaa wenu jukuani?eti hapa ni kazi tu,wewe ndio unatia huruma.Ona unavyotia huruma. Debe tupu. Chama na Maendeleo wapi na wapi. Utashi ndugu. Acha utoto Utoto ndo ujitamkia na kujisifia. Hapa ni Kazi tu. Mbwembwe pelekeni chooni.
Kaka wanachama ubavu hatuna , huyo aibu ndo zitamtoa, au mumhakikishie ruzuku hata kama yuko nje atailaje, kwa maana mkwe alimkabizi,sisi tutamtoaje kwenye saccos ya ukoo?Hatima ya Mbowe iko mikononi mwa wanachama halali wa cdm, wao ndio wana uwezo na haki ya kumtoa iwapo wataona inafaa na sio kwa shinikizo la wanaccm. Hiyo cdm ni chama cha hiari, mtu akiona hakubaliani na yanayoendelea atumie taratibu zao za chama kumtoa. Ikishindika anayoena haiwezekani ahamie chama kingine au aanzishe chama chake kama Zitto. Kwetu rais akiongeza muda wa kukaa madarakani ndio patachimbika kwani hatuwezi kuhama nchi na nchi ni yetu wote, lakini vyama ni vya wanachama.
Unapojibu hivyo unaonekana una upande flaniUpinzani hauwezi kupwaya upinzani upo mioyoni mwetu.
Sisi wote ni wapinzani.Ccm inamarifagani zaidi ya kupiga Risasi Wapinzani wa kweli kama Akina Lisu?
Ccm ina maarifa gani zaidi ya Polepole na Mwenyekiti wake kutumia Kodi zetu kununua wapinzani na Kurudia uchaguzi?
Ccm inafanya maarifa ya kishamba Alafu Bashite anajipongeza na Polisi wanao kula mshahara wa kodi zetu watanzania.
Kaka wanachama ubavu hatuna , huyo aibu ndo zitamtoa, au mumhakikishie ruzuku hata kama yuko nje atailaje, kwa maana mkwe alimkabizi,sisi tutamtoaje kwenye saccos ya ukoo?