Recent content by mujemaso

  1. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Huwezi kutumia WhatsApp katika mataifa haya 6, unajua ni kwanini?

    Unatumia VPN Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Kaniomba nizae naye!!

    Usithubutu kuzaa naye kwa kigezo cha yeye kumhudumia mtoto bila kukusumbua... Utajuta kama walivyojuta wengine wengi.
  3. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Taa za Gari mpya VS Used

    Funga used hutajuta.
  4. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    Wilaya ya Kyela boko wapo sana hasa maeneo ya kata ya Lusungo. Hao viboko huwa wanaenda hadi Mponda na Mbeje (Ipinda). Kuna siku mwaka 2017 mwezi wa 1 nilikuwa Matema Hospital walikuja viboko wawili mchana kweupe wakawa wanaogelea ziwani.
  5. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushauri wangu wa manufaa kwa wana-Mbeya. Hatari ni kubwa sana

    Kumbe hata jina lake linasadifu [emoji12][emoji12][emoji12]
  6. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushauri wangu wa manufaa kwa wana-Mbeya. Hatari ni kubwa sana

    Umetumwa? Wewe ndo utuombe msamaha kwa kutuletea mawazo yako ya kizwazwa kama haya. Maneno mengi kumbe hujui hata ipi ni haki na kipi kinahitaji hisani.
  7. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Sheria ya wezi wa kutumia bodaboda uingereza inachekesha sana

    Nadhani anamaanisha wezi wanaotumia pikipiki. Sio kwamba London kuna huduma ya bodaboda.
  8. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Pasaka imeanza vema beach fulani leo,full bata

    Sinza hakuna ndege John [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. mujemaso

    JamiiForums Tanzania TCRA, mmeona alama za vidole ndo njia salama zaidi ya ulinzi au mmeamua tu?

    Maneno kuntu. Ukurupukaji umezidi.
  10. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

    Artocarpus heterophyllus mfenesi aka jackfruit Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

    Mucuna pluriens = u.pupu aka buffalo beans Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

    Manihot esculenta = mihogo aka tapioca aka cassava Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

    Kama unaongelea mashona nguo aka blackjack yanaitwa Bidens pilosa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mkokoteni toka Zenji [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mujemaso

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kidogo hapa

    10+7*2 MAGAZIJUTO 10+14=24 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom