Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

Ni kweli kabisa Mashado ilikuwa hotel nzuri sana hadi ndege ndogo zilikuwa zinatua pale lakini kwa sasa imekufa kabisa na hakuna wa kuiendeleza tena kisa hakuna beach watalii hapawavutii sana
Aisee ,lakini mimi nadhani Mashado was the best hotel there,view nzuri sana,yaani beach tu ?nadhani pia wawekezaji hawakuwa makini tu kwani kuna hoteli nyingi hazina beach ,na zinafanya kazi nzuri,kwa kweli nilihuzunika nilipofika pale swimming pool imekuwa kama bwawa la maji machafu,zile nyumba ndogo za kulala wageni zimekuwa magofu,nadhani Mashado ndio hotel pekee yenye view nzuri ya bahari ya hindi ingawa zingine zipo ufukoni kabisa lakini kilima cha Mashado ni kitu kingine,nilisikia mwenyewe ni singasinga wa kiwanda cha mbolea nae ana mambo mengi
 
Hujazitembelea baadhi ya hotel za pangani mkuu kama,ushongo,Bahari pori,Mkoma bay, zina madhari nzuri sana
Sikupata muda nilikuwa nalala ile ya kanisa nimesahau jina lake ipo hapo Pangani mjini beach kabisa mbele ya soko la dagaa.Mwkani nitafanya utalii wa ndani hasa kwenye ufukwe wa Pangani,vipi wewe unaishi/mwenyeji wa Pangani?
 
Yes lolsss, chef PM Pinda yuko vizuri very social na mtani sana, aliniazima jiko nifanze bbq ya kuku pale beach, jamaa wapo vizuri sana ktk customer services. Na naona kuna haja sana ya yule. Mzungu wa ile lodge aongeze zile water ski za kukodi na vijana zaidi wa guides pale ufukweli. Ni holiday resort tamu sana. I can always recommend that place!
Pia ungekuwa ushauri wangu angebadili yale magodoro aweke ya spring na vitanda vipya ambavyo ni comfy ,vile vilivyopo ni kama tupo chuo.Hapo mimi ni kama nyumbani huwa nikizifuma tu kidogo huwa naenda hapo.
 
Mamba wameokoka siku hizi. Hawa watoto wanatumia uzoefu tu. Hapo wote wanajua vizuri kuogelea. Wakati mwingine ni mungu tu anasaidia.
Siku hizi mamba ndio wanaoliwa badala ya wao kuwala watu,ukisikia mamba kauawa basi jua kila anayekimbilia kwenye huyo mamba ana kisu chake kikali,pale ukienda bila kisu hata ukucha huupati,hakuna kuazima kisu cha mwenzio ,baada ya muda mfupi utaona kilichobaki ni damu tu,mwindaji kawa mwindwaji.
 
Mzee hpngers kwa picha zako zinazovutia..mim pia napenda sana utalii wa ndani ingawa sio mzuri kuhifadhi kumbukumbu..ila kila baada ya miezi 3 hua natafuta sehem mpya yakurefresh...nshatembelea.sadaan,pangani,mlima kilimanjaro,kilwa,mafia,bagamoyo,mikumi....sasa sehem nnazo tamani zifikia ni hifadhi za selous na ruaha
Sikupata muda nilikuwa nalala ile ya kanisa nimesahau jina lake ipo hapo Pangani mjini beach kabisa mbele ya soko la dagaa.Mwkani nitafanya utalii wa ndani hasa kwenye ufukwe wa Pangani,vipi wewe unaishi/mwenyeji wa Pangani?
 
Tupilike nimekuelewa vyema ila naomba tuwekane sawa
Hakuna Beach matema ambapo viboko wanaishi karibu wanaanzia kule maeneo ya Ngolwa kwenye kivuko kuelekewa lusongo na maeneo kama hayo
Sitaki niongee sana
na viboko wa kule kwa msimu huuu ni vigumu kuwaona maeneo ya karibu
Nimeishi hayo maeneo ya matema njoo lusungo lukwego maeneo mengi sana
Nimelina Mpunga na kuwinda its my home there hebu toa maelezo kwanza vyema kabla utueleweshe, matema eneo lipi umepiga picha hao viboko?
Pia hiyo sio picha ya simu

Wilaya ya Kyela boko wapo sana hasa maeneo ya kata ya Lusungo. Hao viboko huwa wanaenda hadi Mponda na Mbeje (Ipinda).

Kuna siku mwaka 2017 mwezi wa 1 nilikuwa Matema Hospital walikuja viboko wawili mchana kweupe wakawa wanaogelea ziwani.
 
Siku hizi mamba ndio wanaoliwa badala ya wao kuwala watu,ukisikia mamba kauawa basi jua kila anayekimbilia kwenye huyo mamba ana kisu chake kikali,pale ukienda bila kisu hata ukucha huupati,hakuna kuazima kisu cha mwenzio ,baada ya muda mfupi utaona kilichobaki ni damu tu,mwindaji kawa mwindwaji.
Mkuu nikupongeze kwa picha na maelezo mazuri! Nimepitia picha zako zote uliweka mpaka sasa na hakika niseme umepiga vizuri! Si hilo tu lakini thread yako imebeba utofauti na thread nyingi za hapa! Congratulations and keep it up! Nadhani ni wengi wanakufuatilia kama mimi!
 
Sikupata muda nilikuwa nalala ile ya kanisa nimesahau jina lake ipo hapo Pangani mjini beach kabisa mbele ya soko la dagaa.Mwkani nitafanya utalii wa ndani hasa kwenye ufukwe wa Pangani,vipi wewe unaishi/mwenyeji wa Pangani?
Aah pale ni Sea side hotel ipo ufukweni kabisaa na ipo karibu na kanisa la lutheran mimi binafsi nimekulia pangani japo asili yangu ni tukuyu ukija tena pangani utanijulisha kuna vivutio vingi vya utalii na utamaduni wa mswahili kama ulibahatika kutembelea jengo la pangarithi watu wa uzikwasa wamejaribu kuelezea historia ya mji wa pangani enzi za utumwa
 
Aisee ,lakini mimi nadhani Mashado was the best hotel there,view nzuri sana,yaani beach tu ?nadhani pia wawekezaji hawakuwa makini tu kwani kuna hoteli nyingi hazina beach ,na zinafanya kazi nzuri,kwa kweli nilihuzunika nilipofika pale swimming pool imekuwa kama bwawa la maji machafu,zile nyumba ndogo za kulala wageni zimekuwa magofu,nadhani Mashado ndio hotel pekee yenye view nzuri ya bahari ya hindi ingawa zingine zipo ufukoni kabisa lakini kilima cha Mashado ni kitu kingine,nilisikia mwenyewe ni singasinga wa kiwanda cha mbolea nae ana mambo mengi
Mashado ni best hotel huduma zake zilikuwa si mchezo hata vyumba vyake vilikuwa na hadhi kubwa sana mimi binafsi mama angu amefanya kazi pale miaka ya 90+ wakati hiyo hotel ipo kwenye ubora wake sidhani kama bahari tu ndio ilikuwa chanzo kikuu ukapotea uwekezaji wote ule hata hivyo kulikuwa na magari ya kuwatembeza watalii fukwe mbalimbali na visiwa vilivyopo karibu na pangani naamini kuna jambo jingne kubwa limechangia kufa kwa mashado huwa nahuzunika sana nikipita pale nakuona hotel nzuri imegeuka magofu
 
Hapo umenena sina cha kuongeza
 
Mkuu nikupongeze kwa picha na maelezo mazuri! Nimepitia picha zako zote uliweka mpaka sasa na hakika niseme umepiga vizuri! Si hilo tu lakini thread yako imebeba utofauti na thread nyingi za hapa! Congratulations and keep it up! Nadhani ni wengi wanakufuatilia kama mimi!
Asante ndugu yangu kwa kunipa moyo,nashukuru.
 
Aah pale ni Sea side hotel ipo ufukweni kabisaa na ipo karibu na kanisa la lutheran mimi binafsi nimekulia pangani japo asili yangu ni tukuyu ukija tena pangani utanijulisha kuna vivutio vingi vya utalii na utamaduni wa mswahili kama ulibahatika kutembelea jengo la pangarithi watu wa uzikwasa wamejaribu kuelezea historia ya mji wa pangani enzi za utumwa
Nitakuja kukutafuta ,tuombe uhai,kwa maana ndio kitu muhimu kuliko vyote,namba zangu ni 0655 585 4890 na 0767 585 490
 
Wilaya ya Kyela boko wapo sana hasa maeneo ya kata ya Lusungo. Hao viboko huwa wanaenda hadi Mponda na Mbeje (Ipinda).

Kuna siku mwaka 2017 mwezi wa 1 nilikuwa Matema Hospital walikuja viboko wawili mchana kweupe wakawa wanaogelea ziwani.
Afadhali umesema hilo nimewahi kuandika kuwa kuna wakati hao viboko wanakuja ufukweni Matema beach,lakini wengine wakapinga
 
Back
Top Bottom