Recent content by muislamu kamili

  1. M

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza iphone 6, 64gb kwa laki 6 na nusu ( 650,000) maongezi yapo tuwasiliane kwa whatsapp kwa 0779848586. Thanks
  2. M

    Iphone 6 , 64gb

    Nauza simu aina ya iphone 6, 64gb kwa 650,000 brand new in a sealed box. Kwa information zaidi wasiliana nami.
  3. M

    Mixer ya kukandia unga wa kutengenezea mikate inahitajika

    Mimi naweza kukusaidia. Niandikie inbox
  4. M

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Upo willing kwa bei gani?
  5. M

    Mwanaume nimeshindwa kula leo kwa ajili ya mapenzi

    Ulipofanya yako, ulipata faida gani thats non sense.
  6. M

    Hawa Wakazi Wa Dar-Es -Salaam Kwa Kweli Maisha Yao Yanachanganya Lakini Yanafundisha Saana

    Kweli kaka wengi wetu hupenda kuishi kwa maigizo, wakati sio issue
  7. M

    Maimamu watoa tamko juu ya Imamu aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi

    Kila kitu kilichosemwa na imamu kipo clear kabisa , na katumia lugha safi ya kiswahilli sasa alokuwa hajafahamu ujue anajichanganya yeye.
  8. M

    Hospitali ya Temeke: Mtoto afariki wakati ambulance ikisubiri wagonjwa mahututi waongezeke

    Wazazi wa uyo mzee nao wazembe vile vile , wangeshidwa kutoa pesa ya taxi ata kuchangishana kumpeleka mtoto hospital. Thats Africa we love you Tanzania.
Back
Top Bottom