Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

23-24moshi unapanda osaka..dar express..kilimanjaro..mabasi kibao tu...Arusha siku hizi medium class 25 unapanda bila tatizo.

So ukiwa na 30 unafika Dar vizuri ukiwa umekula kbs
aiseeee!! Yan chali ake unampa mtt mzur
Huo mkokoten wa osaka c n sawa na kumpa saibaba,princess muro
Achaa kumuoneaa kabsaa

Husna chukua moja
Wapo ya hzi uinjoy

Thamed
Dar lux
Kidia one
 
Nilipanda tahmeed TANGA - Dar tar 7 Aprili. Nauli ilikuwa 15,000.
Hii ina maana wamepunguza moja kwa moja au kwa muda tu?
 
Mkuu Falcon mombasa, tayar hii ni april inaelekea mwisho, vipi Tahmeed washaanza safar zao za kanda ya ziwa? Tunaisubiri kwa hamu
 
Nikitaka kwenda Kigoma tarehe 25 July nikitoka Dar... ntakuwa ndo nimefika dar siku hiyo na ningependa siku hiyohiyo niende Kigoma la ikabidi nilale iwe siku moja. Ni usafiri gani reliable basi treni au ndege?

Gharama zake.... muda wa safari. .... kwa kila usafiri.... upi kati ya hizo ni njia ni usafiri ambao nitakuwa nasafiri huku nainjoi?

Kasie.
Upo usafiri mzuri sana wa mabasi aina nyingi ila wengi wanatumia basi aina 2
1- Saratoga line
2-Adventure connection

Usafiri wa uhakika bila shida tiketi zao zinapatikana ubungo na ilala pia temeke na mbagala zinapatika
 
Ndiyo mkuu nilipanda Tahmeed mwezi uliopita kwenda Moshi, nilifurahia safari yangu katika bus la daraja la Juu kabisa. Hata wakati wa kurudi nilishawishika tena kurudi nalo Dar.


Nimependa ukarimu wao na kuwajali wateja wao.

Naweza kusema kwa kanda ya kaskazini Tahmeed hana mpinzani. Siyo Dar express,Kilimanjaro n.k.
Nashukuru kwa hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom